KITAIFA

BASHUNGWA ASHIRIKI IBADA KKKT – KARAGWE, ASKOFU BAGONZA AISHUKURU SERIKALI.

BASHUNGWA ASHIRIKI IBADA KKKT – KARAGWE, ASKOFU BAGONZA AISHUKURU SERIKALI.

Ibada hiyo imeongozwa na Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, leo tarehe 01 April 2024.

Akitoa Salamu, Waziri Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Watanzania ya kufanya shughuli uzalishaji mali na kuleta ustawi.

Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Serikali iendelea kutekeleza miradi mbalimbali na kuboresha huduma za kijamik ikiwa ni pamoja na Ujenzi wa barabara ya Nyakahanga – Nyaishozi kuelekea Benaco kwa Kiwango cha lami.

“Serikali inaendelea na Ujenzi wa barabara kwa Kiwango cha lami ya Nyakahanga kuelekea Benaco, Barabara ya kuanzia Kyerwa – Nkwenda hadi Omurushaka tumeshasaini na Mkandarasi pia tupo tunamtafuta Mkandarasi wa kujenga barabara ya Omugakorongo Mpaka Murongo” amesma Bashungwa.

Kadhalika, Bashungwa amemshukuru Askofu Dkt. Benson Bagonza kwa kuendelea kuishauri vema Serikali katika masuala ambayo wananchi wamekuwa wakiyahitaji na yanayohusu jamii na Watanzania.

Kwa upande wake, Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza ameishukuru Serikali kwa kutimiza ahadi  na kukamilisha Ujenzi wa barabara inayoanzia kibao cha Rukajange hadi Kanisa kuu la Dayosisi kwa kiwango cha lami.

Askofu Bagonza amiomba Serikali kuangalia kwa ukaribu suala la uwepo wa vizuizi  (barrier) vingi vya kukusanya ushuru ambapo ameeleza zinaendeleza umasikini kwa  Wananchi wa wilaya Karagwe.

About Author

Bongo News

8 Comments

    Играйте в казино онлайн с удовольствием, выигрывайте большие суммы.
    Проникнитесь атмосферой казино онлайн, достижение успеха рядом.
    Играйте только на проверенных сайтах, доверьтесь профессионалам.
    Пополняйте свой счет с помощью казино онлайн, играя в популярные слоты.
    Станьте частью мира казино онлайн, наслаждайтесь победами.
    Преуспейте в мире азартных игр, достигайте финансовой независимости.
    Почувствуйте реальный азарт игры в казино онлайн, получая максимум удовольствия.
    Играйте во что угодно, не ограничивайте себя, наслаждайтесь игрой в любое время суток.
    Получайте удовольствие от игры в казино онлайн, завоюйте вершину мира азарта.
    Забудьте о скучных моментах, играя везде и всегда, погружаясь в мир азарта.
    Сделайте свою жизнь более увлекательной с казино онлайн, получая яркие эмоции.
    Достижения ждут вас в увлекательном мире азарта, завоевывая новые вершины.
    Играйте в казино онлайн без ограничений, соревнуйтесь с сильнейшими игроками.
    Добейтесь успеха с нашей помощью, изучая стратегии и тактики.
    онлайн казино беларусь онлайн казино .

    中国 えろその取り組みは、満足した顧客からの高い評価に現れており、サイトが提供する製品とサービスの質の高さが伺えます.継続的な卓越性へのコミットメントにより、comはリアルなドール業界の最前線に立ち続けています.

    As with any significant technological advancement, irontech dollthe rise of sex dolls, especially those equipped with AI, has stirred a mix of reactions and debates.

    高級 ラブドールaren’t afraid to use them all.Malay dishes employ a range of exotic fruits and herbs with Indian and Thai spices; Indonesian ones like satay with spicy-sweet peanut sauce also aren’t afraid to give South Asian spices the Southeast Asian treatment.

    ラブドール 中古I highly recommend Lovedoll Palace for their outstanding quality and customer service.I recently purchased a lifelike doll from Sexy Real Doll,

    Even without using a condom, the vagina can maintain cleanliness, naturally 人形エロadjusting PH balance. However, it’s recommended to gently clean the external genitalia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *