KITAIFA

BASHUNGWA ATINGA MLIMA KITONGA KIBABE, ATAJA MKAKATI WA KUIPANUA, ZAIDI YA SH6.4BILIONI KUTUMIKA

BASHUNGWA ATINGA MLIMA KITONGA KIBABE, ATAJA MKAKATI WA KUIPANUA,  ZAIDI YA SH6.4BILIONI KUTUMIKA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema Serikali imesikia kilio cha Watumiaji wa barabara kuu ya TANZAM kutokea Ruaha Mbuyuni hususan eneo la Mlima Kitonga lenye urefu wa kilometa 7.6  na inakwenda kutoa suluhisho, ambapo tayari wataalam wamewasilisha mapendekezo ya muda mfupi na muda mrefu ambayo yatafanyiwa kazi na Serikali.

Eneo hilo la Mlima Kitonga ambalo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara kutokana na kuwepo kwa mlima mkali na kusababisha foleni kwa  muda mrefu pamoja na ajali za magari sasa Serikali inakwenda kuipanua kwa gharama ya Shilingi Bilioni 6.478 ikiwa ni makadirio ya utekelezaji wake katika mpango wa muda mfupi.

Bashungwa amesema hayo mkoani Iringa wakati alipofika eneo hilo na kupata taarifa ya wataalam kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) mara baada ya kukamilisha usanifu wa upanuzi wa Mlima Kitonga ili kuimarisha usalama kwa watumiaji wa barabara hiyo.

“Moja ya maagizo aliyonipatia Mheshimiwa  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na kushughulikia kero ya eneo hili la Mlima Kitonga ambalo limekuwa likipoteza ndugu zetu pamoja na mali na ameniagiza kwanza tutafute suluhisho la muda mfupi na nimpelekee suluhisho la muda mrefu”, amefafanua Bashungwa.

Bashungwa ameeleza kuwa wananchi wa mkoa wa Iringa, Mikoa ya jirani pamoja na nchi zinazotumia barabara hiyo wakae tayari kwani Mheshimiwa Rais ni mtu wa vitendo na tayari utekelezaji wa upanuzi utaaanza hivi karibuni.

Kwa upande wake, Meneja wa TANROADS, mkoa wa Iringa, Mhandisi Yudas Msangi ameeleza kuwa jumla ya mita 1600 za Mlima Kitonga zitatanuliwa ili kupunguza ajali na foleni katika eneo la Mlima Kitonga Barabara kuu ya TANZAM hiyo ikiwa ni suluhisho la muda mfupi.

Ameongeza kuwa maeneo mengine yatafungwa  vioo maalum kwenye maeneo yenye kona kali ili kuweza kuwasaidia  madereva kuona magari mengine na kuongeza usalama zaidi.

Kuhusu suluhisho la kudumu, Mhandisi Msangi amesema kuwa tayari wameshasaini mkataba kwa ajili ya usanifu ambapo kulikuwa na mapendekezo ya  kuwa na njia ya mchepuo wa Mlima Kitonga, pamoja na pendekezo la barabara ya Mchepuo Mlowa – Mifugo – Mlafu hadi Ilula yenye urefu wa km 31.

About Author

Bongo News

8 Comments

    while at the same time working on oneself to gain equanimity and wisdom.ラブドール エロThe narcissist is too focused on the outside validation to work through disappointments holistically.

    Hello joke lovers!
    Step up your joke game with basketball dad jokes that are classic, clean, and comically clutch. basketball pun
    Need a quick laugh? These basketball pun one liners are fast, funny, and always on target. Say goodbye to boring breaks.
    Toda la información en el enlace – п»їhttps://basketballpuns.com/
    Wishing you lots of giggles!

    ?Hola entusiastas del juego
    Un casino sin licencia en EspaГ±a te permite jugar desde cualquier dispositivo sin necesidad de instalar aplicaciones adicionales.
    El bono de bienvenida en casinos sin licencia es mГЎs flexible que en sitios regulados. Muchas veces no exige rollover o lo mantiene muy bajo. Aprovecha estas ofertas antes de que cambien.
    Mas detalles en el enlace – п»їhttps://casinossinlicenciaenespana.guru/
    ?Que tengas excelentes partidas!

    ¡Hola expertos en apuestas
    El bono de bienvenida puede incluir una combinaciГіn de depГіsito y giros gratis. A veces no se requiere ningГєn depГіsito inicial. casinossinlicenciaenespana Estas promociones duran poco tiempo, asГ­ que actГєa rГЎpido.
    Un casino sin licencia permite a los jugadores espaГ±oles disfrutar de una experiencia mГЎs flexible, sin tantas restricciones gubernamentales. Muchos optan por estas plataformas para evitar verificaciones exhaustivas.
    Consulta el enlace para más información – п»їhttps://casinossinlicenciaenespana.guru/
    ¡Por muchos instantes divertidos!

    ?Hola entusiastas del juego
    Las casas de apuestas sin ingreso mГ­nimo te permiten comenzar con solo 1 euro o incluso menos.
    Las casas de apuestas sin DNI permiten mГЎs anonimato. No necesitas compartir datos personales ni esperar aprobaciГіn.
    Mejores casas de apuestas para principiantes con bonos – http://casasdeapuestassinlicenciaespana.xyz/
    ?Que tengas excelentes ventajas!

    ?Hola usuarios de apuestas
    Si buscas apuestas sin depГіsito mГ­nimo, estГЎs en el lugar correcto.
    Las casas de apuestas internacionales aceptan jugadores de EspaГ±a aunque no tengan licencia local. Su enfoque global les permite ofrecer mГЎs variedad y mГ©todos de pago modernos.
    Casas de apuestas con licencia en EspaГ±a: guГ­a oficial – https://casasdeapuestassinlicenciaespana.xyz/#
    ?Que tengas excelentes botes acumulados!

    ?Hola jugadores
    Los sitios con casa de apuestas espaГ±ola suelen exigir comprobantes bancarios.
    Las casas de apuestas casino tambiГ©n ofrecen juegos como ruleta en vivo, blackjack y tragaperras Гєnicas que no verГЎs en sitios regulados.
    Bonos en casas de apuestas sin DNI: juega sin revelar datos – mejores casas de apuestas sin licencia
    ?Que tengas excelentes botes acumulados!

    kamagra en ligne: kamagra pas cher – kamagra pas cher

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *