Na. Mwandishi Wetu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuhakikisha kunakuwa na uendelevu wa upatikanaji wa mafuta kwa wakati wote kwa gharama halisi, kufanya kazi kwa kuzingatia misingi ya sheria na kutatua malalamiko ya wateja kwa haraka ili kuendelea kutoa huduma bora kwa Watanzania

Amesema hayo leo Februari 17/2025 jijini Tanga wakati akifungua Kikao cha Nne cha Baraza la Pili la EWURA.
Dkt. Biteko ameipongeza EWURA kwa kutekeleza maagizo yake aliyoyatoa wakati wa kikao cha Baraza kilichofanyika mwezi Novemba 2024 ikiwemo kuongeza kasi ya kushughulikia malalamiko ya wateja, kuondoa urasimu katika utoaji wa vibali vya ujenzi wa vituo vya kujazia gesi kwenye magari ( CNG), kupunguza gharama ujenzi wa vituo vya CNG, kulegeza masharti ya ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini na kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.
Kutokana na maagizo hayo ya Dkt. Biteko, kati ya Novemba 2024 na Januari 2025 EWURA imetoa vibali vya ujenzi wa vituo vinane vya CNG huku wawekezaji 50 wakionesha nia ya kujenga vituo vingine

Aidha, EWURA imeshusha gharama za leseni na vibali vya ujenzi vituo vya CNG na gharama za maombi ya vibali zimepunguzwa kutoka shilingi 500,000 hadi 50,000 na gharama za maombi ya leseni zimeshushwa kutoka 1,000,000 hadi 100,000.
Dkt. Biteko pia ametoa maagizo mbalimbali kwa uongozi wa EWURA ikiwemo kusimamia malipo na stahiki zote za kifedha za watumishi, kuboresha mazingira ya kufanyia kazi kwa kuwa na vifaa na vitendea kazi vya kisasa vinavyoendana na muda, teknolojia na mahitaji yaliyopo kwa Taasisi na watumishi.
Maagizo mengine aliyoyatoa ni kuwaendeleza watumishi kitaaluma kwa kuwapatia mafunzo ya muda mrefu, mfupi na wa kati katika fani mbalimbali ili kuisaidia Taasisi na watumishi kuendana na mabadiliko na maendeleo ya Teknolojia yanayotokea ulimwenguni. Pamoja na kuboresha uhusiano kati ya uongozi na watumishi kwa kuanzisha mijadala ya wazi kuhusu maendelo na mipango ya baadaye ya Taasisi.

“Nawahakikishia kuwa wakati wote Serikali itaendelea kuwapa kila aina ya ushirikiano ili muweze kuwahudumia Watanzania, Serikali yoyote inapata heshima ikiwa inawahudumia wananchi ambao wana umeme na mafuta wakati wote hivyo, fanyeni kazi kwa kufuata sheria ili muwe salama, msikubali kuingiliwa na kupindisha misingi ya kazi.”Amesema Dkt. Biteko
“ Pia ni muhimu kutambua na kuthamini kazi nzuri za watumishi, vitu kama vyeti, barua za pongezi na tuzo za ufanisi husaidia kuwafanya watumishi watambue kwamba wanathaminiwa na hivyo kuendelea kuongeza bidii.” Amesema Dkt. Biteko
Vilevile, amesisitiza suala la motisha kwa wafanyakazi na kuanzisha utamaduni wa kufanya mazoezi na kushiriki michezo ndani ya taasisi na kwa kushirikiana na Taasisi nyingine
Katika kikao hicho ambacho kitajadili bajeti ijayo ya mwaka 2025/26 na utekelezaji wa bajeti ya 2024/2025, Dkt. Biteko amewahimiza wajumbe kujadili utekelezaji wa malengo ya taasisi

kwa kuzingatia ajenda ya Taifa katika masuala ya Nishati hususani matumizi ya nishati safi ya kupikia na upatikanaji wa maji kwa gharama inayostahili kwa wananchi wote
“Naamini mtafanya tathmini kutoka katika Bajeti iliyopita na kuona ni nini tufanye ili kukidhi mahitaji ya Watanzania.” Amesema Dkt. Biteko.
Katika hatua nyingine Dkt. Biteko amesema kuwa, Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipatia nchi heshima kubwa kwa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ndani na nje ya nchi ikiwa ni pamoja na kutafuta fedha kwa ajili ya kufadhili miradi hiyo.
Ameendelea “ EWURA mnatakiwa kubeba ajenda hii ya nishati safi kwa kuelimisha umma kuhusu manufaa yake, pamoja na nishati safi ya kupikia tunataka kuongeza bomba la kusafirisha mafuta na kuongeza matenki ya kushusha mafuta maeneo mbalimbali ikiwemo Morogoro na Makambako ili tuweze kuondoa changamoto ya magari yote kuja kujaza mafuta Dar es Salaam.”
Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dkt.Batilda Buriani amesema kuwa EWURA imeendelea kusimamia ipasavyo mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kuhakikisha kunakuwa na ushiriki kamilifu wa wazawa na maslahi mengine ya nchi.
Ameipongeza Ewura kwa kusimamia mwenendo mzima wa upatikanaji wa mafuta na hivyo kuwezesha mkoa huo kuwa na nishati ya mafuta ya kutosha.
Kuhusu umeme vijijini, amesema kuwa vijiji vyote 763 mkoani Tanga vina umeme huku kazi ya kupeleka umeme kwenye vitongoji 4,596 ikiendelea.
Akizungumzia utekelezaji wa Nishati Safi ya Kupikia, Dkt.Buriani amesema Mkoa wa Tanga unaendelea na uhamasishaji wa matumizi ya nishati hiyo, ambapo taasisi zinazolisha watu zaidi ya 100 zipatazo 1493 zipo kwenye mchakato wa kuhama kutoka kwenye matumizi ya kuni kwenda kwenye gesi huku Jeshi la Magereza likifanya vizuri zaidi kwa Magereza yake kuanza kutumia nishati safi.
Amesema mpaka sasa Tanga tayari imepokea mitungj ya gesi ipatayo 21,000 ambayo itatolewa kwa wananchi kwa bei ya ruzuku kwa punguzo la asilimia 50 na kwamba mitungi hiyo itaendelea kutolewa kadri inavyopatikana lengo likiwa ni kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio ameipongeza EWURA kwa kutekeleza maagizo mbalimbali yanayotolewa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko ikiwemo la kuhakikisha kunakuwa na vituo vingi vya kujazia gesi kwenye magari (CNG) ambapo kuanzia mwezi Novemba hadi sasa tayari wametoa vibali nane vya ujenzi wa vituo vipya vya CNG huku wawekezaji wakiendelea kujitokeza.
Aidha, ameipongeza EWURA kwa kuhamasisha suala la Nishati Safi ya Kupikia kwa kutoa elimu kwa wananchi na pia kuwezesha baadhi ya makundi ya wananchi kwa mitungi ya gesi ikiwemo vituo vinavyotoa malezi kwa wazee na shule.
Ameongeza kuwa, Ewura pia imefanya kazi kubwa kwenye usimamizi wa mradi wa EACOP kwa kuhakikisha maslahi ya nchi yanazingatiwa pamoja na ushiriki wa wazawa ambapo amesema mradi huo umefikia asilimia 55
Awali, Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt.James Andilile alisema Taasisi hiyo imetekeleza ipasavyo maagizo mbalimbali yaliyotolewa na Dkt.Biteko k wakati wa kikao cha Baraza hilo mwezi Novemba 2024 ikiwemo la kushughulikia kwa haraka malalamiko ya wateja yanayowasilishwa EWURA ambapo amesema kuwa kwa kupitia Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa Ewura inashughulia malalamiko kwa haraka.
Kuhusu agizo alilolitoa Dkt. Biteko la EWURA kuhamasisha uwekezaji kwenye vituo vya kujazia gesi kwenye magari ( CNG) ili kuweza kuwa na vituo vingi, amesema agizo hilo limeendelea kutekelezwa ambapo kati ya mwezi Novemba 2024 na Januari 2025 tayari EWURA imetoa vibali vya ujenzi wa vituo 8 huku wawekezaji 50 wakionesha nia ya kuwekeza.
Dkt. Andilile amesema Ewura inaendelea kuhamasisha uwekezaji wa ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini kwa kushirikiana na REA na kwa vituo vya CNG Ewura imelegeza masharti ya uwekezaji wa vituo ambapo maombi ya vibali yamepunguzwa gharama kutoka shilingi 500,000 hadi 50,000 na maombi ya leseni yamepunguzwa kutoka 1,000,000 hadi 100,000.
Aidha, kuhusu agizo alilotoa Dkt.Biteko kwa Ewura la kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya Kupikia, Dkt. Andilile amesema kuwa taasisi hiyo imeendelea kutoa elimu kwa umma ikiwemo ya kuwaambia wananchi kuwa kuwa
Gesi ya kupikia ni Salama.
Akizungumzia bajeti ya mwaka 2025/2026 itakayojadiliwa kwenye mkutano huo, Dkt.Andilile amesema kuwa Ewura imepanga kuwa na mifumo ya teknolojia itakayorahisisha kazi za udhibiti ili zifanyike kisasa na kwa ufanisi
14 Comments
I am regular visitor, how are you everybody? This article posted at this web page is genuinely pleasant.
“https://andyfreund.de/wiki/index.php?title=Sveikinimai_Moteriai_2C”
Your writing style is compelling; it feels like having a talk with a friend.
Xcent33 – прочные и надежные шины из китая оптом для грузовиков.
Резина грузовая 22.5 оптом – выгодные
условия для крупных заказчиков.
“https://lnx.hokutonoken.it/Shina_99w”
Легальная растаможка авто из Китая
“https://opensourcebridge.science/wiki/Vttauto_69a”
Вывел биткоин на Тинькофф, все прошло мгновенно.
“https://ajormihan.ir/question/exsrocket-ru-50g/”
Продал bitcoin через сервис, курс был очень выгодный.
“https://msgwiki.msgeducation.com/index.php/Exsrocket.ru_9V”
Где безопасно продать USDT с минимальными комиссиями?
“https://securityholes.science/wiki/Exsrocket.ru_4J”
Services cleaning got rid of all my pet hair—lifesaver!
“https://thaprobaniannostalgia.com/index.php/Steam_Hippo_55E”
Записалась к врачу в Москве, но пришлось долго ждать
приёма — это нормально?
https://housethornwiki.com/index.php/Vrachi_93L
IGET Pro in Australia Moon’s
cloud game is strong—best disposable I’ve tried.
Душевые кабины: комфорт и практичность в ванной комнате
Душевые кабины давно стали неотъемлемой
частью современных ванных комнат.
Они сочетают в себе удобство, стиль и функциональность, что делает их популярным выбором для
домов и квартир. В отличие от традиционных ванн, душевые кабины занимают меньше места, экономят воду и
предлагают множество дополнительных опций, которые делают принятие душа
более комфортным. В этой статье мы
рассмотрим, почему душевые кабины так востребованы,
какие виды существуют и на что обратить
внимание при выборе.
Преимущества душевых кабин
Одно из главных достоинств душевых кабин — это их компактность.
В небольших ванных комнатах, где каждый сантиметр на счету, душевая кабина позволяет рационально
использовать пространство. Она идеально подходит для тех,
кто ценит минимализм и практичность.
Кроме того, душевые кабины помогают экономить воду, так как принятие
душа обычно требует меньше ресурсов, чем наполнение ванны.
Еще одно преимущество — разнообразие
функций. Современные модели оснащаются гидромассажем, подсветкой, встроенным радио
и даже парогенераторами, превращающими кабину в мини-сауну.
Это делает их не только средством гигиены,
но и способом расслабления после долгого дня.
Также душевые кабины легко чистить, а их
закрытая конструкция предотвращает
разбрызгивание воды по всей
комнате.
Виды душевых кабин
Душевые кабины бывают разных типов, и
выбор зависит от ваших потребностей и особенностей помещения.
Самый простой вариант — это открытые кабины.
Они состоят из поддона и стенок, которые примыкают к стенам ванной комнаты.
Такие модели недорогие и подходят для маленьких пространств, но они не обеспечивают полной герметичности.
Закрытые душевые кабины — более популярный выбор.
Они имеют крышу и полностью изолированы,
что позволяет сохранять тепло и
использовать дополнительные функции, такие как пар или
ароматерапия. Эти модели дороже, но предлагают больше комфорта
и возможностей.
Также существуют комбинированные варианты
— душевые кабины с ванной. Они подойдут тем, кто не хочет отказываться от возможности полежать в горячей воде,
но при этом ценит удобство душа.
Такие модели обычно больше по
размеру и требуют просторной ванной комнаты.
Материалы и дизайн
При выборе душевой кабины важно обратить внимание на
материалы. Поддоны чаще всего изготавливают из
акрила, стали или керамики.
Акриловые поддоны легкие, теплые на ощупь и доступны по цене,
но могут царапаться. Стальные поддоны
прочнее, но холоднее и шумят под струей воды.
Керамика долговечна и выглядит
эстетично, но она тяжелая и хрупкая.
Стенки и двери обычно делают из закаленного стекла или пластика.
Стекло прочнее, выглядит дороже и легче моется,
тогда как пластик дешевле, но со временем может помутнеть.
Дизайн тоже играет роль: прозрачные,
матовые или тонированные стенки позволяют подобрать кабину под стиль интерьера.
Как выбрать душевую кабину
Перед покупкой стоит учесть несколько моментов.
Во-первых, размеры. Измерьте пространство
в ванной комнате, чтобы кабина не загромождала
помещение. Во-вторых, определитесь с функциями:
нужны ли вам гидромассаж или парогенератор, или достаточно базовой модели.
В-третьих, проверьте качество сборки и репутацию
производителя. Надежные бренды
обычно предлагают гарантию и запасные
части.
Также важно подумать о монтаже.
Установка душевой кабины требует правильного
подключения к водопроводу и
канализации, поэтому лучше доверить это профессионалам.
Если ванная комната нестандартной формы,
можно заказать кабину по индивидуальным
размерам.
Уход за душевой кабиной
Чтобы душевая кабина служила долго, за ней
нужно правильно ухаживать. После каждого использования рекомендуется протирать стенки и
поддон мягкой тряпкой, чтобы избежать налета от воды.
Для чистки лучше использовать специальные средства для стекла и
акрила, избегая агрессивных
химикатов. Регулярно проверяйте уплотнители и фурнитуру, чтобы предотвратить
протечки.
http://genome-tech.ucsd.edu/LabNotes/index.php?title=Cabin_18n
Миграционный юрист в Казахстане:
Ваш Навигатор по ВНЖ, РВП и Легализации
Казахстан все больше привлекает людей
со всего мира – для работы, бизнеса, учебы
или воссоединения с семьей.
Однако переезд и жизнь в новой стране всегда связаны
с необходимостью ориентироваться в местном
законодательстве, особенно
в такой сложной и динамично
меняющейся сфере, как миграционное право.
Запутанные процедуры, строгие требования и языковой барьер
могут стать серьезным препятствием на пути к легальному и комфортному пребыванию в Республике Казахстан.
Именно здесь на помощь приходит
квалифицированный миграционный юрист
Казахстан.
Легализация и РВП: Первые шаги в РК
Первое, с чем сталкивается любой иностранный гражданин – это необходимость законного оформления своего пребывания.
Легализация РК начинается
с постановки на миграционный учет, но для более длительного нахождения часто
требуется получение Разрешения
на временное проживание. РВП Казахстан –
это документ, позволяющий находиться в стране от нескольких месяцев до года (в зависимости от оснований:
работа, учеба, лечение, воссоединение семьи и
др.). Процедура его получения требует внимательности
и знания актуальных правил, ведь даже небольшая ошибка может привести к отказу.
Юрист поможет определить подходящее основание, подготовить пакет документов и пройти процедуру максимально гладко.
Вид на жительство (ВНЖ): Стабильность
и Новые Возможности
Следующий важный этап для тех, кто планирует
связать свою жизнь с Казахстаном надолго,
– получение ВНЖ Казахстан.
Вид на жительство РК предоставляет иностранцу практически те же права, что и гражданам страны (за исключением избирательных прав и некоторых других), открывая путь
к стабильности, социальным гарантиям и возможности в
будущем претендовать на гражданство.
Процесс получения ВНЖ более сложен, чем РВП:
необходимо подтвердить свою платежеспособность, отсутствие
опасных заболеваний и судимостей, а также
правильно оформить множество документов.
Опытный юрист станет вашим надежным проводником
на этом пути, минимизируя
риски отказа.
Защита прав и решение сложных вопросов
Деятельность миграционного юриста не ограничивается лишь помощью в оформлении документов.
К сожалению, иностранные граждане могут столкнуться с различными проблемами:
необоснованные отказы в
выдаче РВП или ВНЖ, трудности при взаимодействии
с миграционной службой РК, угроза выдворения или депортации,
нарушение трудовых прав.
В таких ситуациях необходима профессиональная защита прав
иностранцев. Юрист поможет обжаловать незаконные решения, представит ваши интересы в государственных органах и
суде, найдет правовое решение даже в самых сложных
ситуациях, руководствуясь нормами миграционного
права РК.
Почему стоит обратиться к специалисту?
Самостоятельное изучение законов и попытки оформления документов
могут отнять много времени, сил и привести к досадным ошибкам с серьезными последствиями.
Обращение к миграционному юристу – это инвестиция в ваше спокойствие и уверенность в завтрашнем дне.
Специалист обладает глубокими знаниями
законодательства и правоприменительной практики, опытом взаимодействия с госорганами и может предложить оптимальную стратегию для вашей конкретной ситуации.
Это реальная помощь мигрантам на всех
этапах – от первичной консультации до получения желаемого статуса и защиты ваших законных интересов.
Не рискуйте своим будущим в Казахстане.
Если вам нужна помощь в легализации, оформлении РВП, ВНЖ или
требуется защита ваших прав, обратитесь за профессиональной юридической консультацией
https://comichronology.com/index.php/Femida_27k
Редкие орхидеи доставили с подробной инструкцией –
очень профессионально!
Here is my web page … https://yogaasanas.science/wiki/User:DarrellScarbroug