KITAIFA

DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA MAENDELEO YA RASILIMALI WATU

DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA MAENDELEO YA RASILIMALI WATU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akifungua mkutano ngazi ya Mawaziri, kuelekea Mkutano wa Wakuu wa nchi 54 za Afrika kuhusu masuala ya Maendeleo ya Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Development Summit), utakaofanyika julai 26, 2023, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam kufungua mkutano ngazi ya Mawaziri, kuelekea Mkutano wa Wakuu wa nchi 54 za Afrika kuhusu masuala ya Maendeleo ya Rasilimali Watu.

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akisalimiana na mke wa Rais mstaafu wa Africa Kusini, Hayati Nelson Mandela, Mama Graca Machel kabla ya kuanza kwa shughuli ya ufunguzi wa mkutano ngazi ya Mawaziri, kuelekea Mkutano wa Wakuu wa nchi 54 za Afrika kuhusu masuala ya maendeleo ya Rasilimali watu (Africa Heads of State Human Capital Development Summit), unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

About Author

Bongo News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *