Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo leo tarehe 12/10/2024 amejiandikisha kwenye Mtaa wa Msasani Kata Muriet.
Gambo amewahamisisha wananchi wa Jimbo la Arusha kwenda kujiandikisha kwenye Mitaa wanaoishi ili kuweza kupata fursa ya kuchagua viongGambo ajiandikisha Mtaa wa Msasani Kata ya Muriet
Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo leo tarehe 12/10/2024 amejiandikisha kwenye Mtaa wa Msasani Kata ya Muriet.
Gambo amewahamisisha wananchi wa Jimbo la Arusha Mjini kwenda kujiandikisha kwenye Mitaa wanaoishi ili kuweza kupata fursa ya kuchagua viongozi watakao shirikiana nao kuleta maendeleo.
Amesema pia wapo baadhi ya wananchi ambao wanaamini kuwa vitambulisho vya zamani vinaweza kuwasaidia kupiga kura kitu ambacho ni potofu. Ili uweze kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Serikali Nov 27 2024 ni lazima ujiandikishe kwenye Daftari la Sasa kwa mujibu wa maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
4 Comments
List beberapa orang yang ber Pala Botak
Üsküdar su kaçağı hizmetleri Üsküdar’da su kaçağı tespiti için en güvenilir firma. Çok memnun kaldım. https://youslade.com/read-blog/32577
Üsküdar su kaçağı fiyatları Efsane Tesisat gerçekten işinin ehli! Üsküdar’da su kaçağı sorunumu çok hızlı bir şekilde çözdüler. http://socialtuberss.epizy.com/read-blog/1697
Top Apps to Make Money in Pakistan, Simple Ways to Make Money in Pakistan Through an App, For Anyone Who Wants to Make Money, For Quick Earnings, Top Ways to Make Money in Pakistan through mobile applications, Earning money in Pakistan using applications: is it real?, which few people talk about, Promising applications for earning money in Pakistan, How to make money, without leaving home in Pakistan, which few people know about, Effective strategies for making money in Pakistan through apps, with minimal effort and maximum return, which are worth trying, with great potential for earning, Optimal platforms for making money in Pakistan, Effective ways to make money in Pakistan through apps: a short guide, New platforms for earning money in Pakistan, Interesting apps for earning money in Pakistan: choose the bestearning app in pakistan real money earning apps in pakistan .