Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo ameahidi kuwa Serikali itachukua hatua madhubuti kuzuia mmomonyoko wa udongo unaokula makazi kutokana na kuhama kwa mito.
Akiwa ziarani katika Kata ya Ubungo Prof. Kitila Mkumbo amejionea athari za mafuriko kwenye mto Gide na kushuhudia baadhi ya makazi yakiwa yamesombwa na maji huku nyumba nyingine zikiwa hatarini kusombwa na maji likiwemo mojawapo ya majengo katika Hoteli maarufu ya Land Mark.
“Huu mmomonyoko namna unavyokwenda kwa kasi unatishia kutoweka kwa makazi mengi na hili jambo ni kubwa kuliko unavyoweza kufikiria, ipo haja ya kuchukua hatua kubwa zaidi” Prof. Kitila Mkumbo.
Amesema namna athari zilivyo kwa mvua hizi za El-nino ni dhahiri kunapaswa kuwepo na hatua za dharula, za muda mfupi, mrefu na wa Kati na muda mrefu maana maji yanakuja kwa kasi kubwa.
Katika ziara hiyo Prof. Kitila ametembelea kivuko kinachotenganisha wakazi wa Ubungo Kisiwani na Ubungo Maziwa ambacho kimesombwa na maji na kuchukua hatua za dharula za kutafuta fedha kwaajili ya kujenga kivuko hicho kabla ya shule kufunguliwa January, 2024 ili kuwezesha wanafunzi na wananchi kupita bila shida.
Amewaagiza TARURA kufanya tathimini ya haraka na kuanza ujenzi mara watakapokabidhiwa fedha kiasi cha Sh. Milioni 90 kinachotakiwa kukamilisha ujenzi huo.
Katika hatua nyingine Mbunge huyo ameahidi kufanyiwa matengenezo ya dharula kwa baadhi ya barabara zilizoharibiwa na mvua pamoja na Vivuko huku akiwataka wananchi kuwa na subra wakati Serikali ikishughulikia changamoto zinazowakabili.
8 Comments
I wonder…. would Maxwell Smart belong in this top 20 list?
}
Your article helped me a lot, is there any more related content? Thanks!
Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.
Dogs and cats with acute sudden onset of kidney failure that includes kidney swelling and shut down oliguric renal failure no longer have the ability to produce sufficient urine anuric kidney disease to remove excess potassium from their bodies priligy and cialis together However, the woman suffered from hematoma prior to passing away and this went unnoticed by the nursing home staff which is indicative of negligence
priligy precio Workowski KA, Berman SM Sexually transmitted diseases treatment guidelines, 2006
5 mol L 8 hydroxyquinolone Aldrich Chemical Co, 1 ОјL of 5 phenylmethylsulfonyl fluoride Calbiochem, and 20 ОјL of 0 can i purchase generic cytotec prices
https://jni-google.ms-de.ru