KITAIFA

KINANA AKUTANA NA KIONGOZI WA NATIONAL DEMOCRATIC INSTITUTE YA MAREKANI

KINANA AKUTANA NA KIONGOZI WA NATIONAL DEMOCRATIC INSTITUTE YA MAREKANI

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdulrahman Kinana, leo Agosti 24, 2023, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa  taasisi ya Marekani ya NDI inayojishughulisha na masuala ya demokrasia, Balozi Derek Mitchel, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.  Balozi Mitchel ameipongeza serikali ya CCM kwa hatua nzuri iliyopigwa katika kukuza demokrasia nchini Tanzania.  Makamu Mwenyekiti Ndugu Kinana amemhakikishia kiongozi huyo kuwa chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania itaendelea kufanya mageuzi yatakayoimarisha demokrasia nchini.

About Author

Bongo News

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *