Serikali yaanza mazungumzo na BHARTI AIRTEL inayomiliki AIRTEL Tanzania

Mazungumzo kati ya Kamati Maalum iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Kampuni ya Bharti Airtel...

Mwakyembe apongeza Mikoa 18 na Halmashauri 9 zinavyoendesha tovuti zao

Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amezipongeza Sekretariet za Mikoa 18 pamoja na Halmashauri 9 zinazofanya vizur katika Uhuishaji...

Rais Magufuli afungua barabara za Uyovu-Bwanga na Isaka – Ushirombo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 10 Machi, 2018 amefungua barabara ya lami ya Uyovu – Bwanga...

Magonjwa ya Figo yanaathiri zaidi Wanawake

Magonjwa ya figo yanakadiriwa kuwaathiri takribani wanawake milioni 195 duniani kote na yanashika nafasi ya 8 kama chanzo cha vifo vya wanawake duniani na...