WAPUUZIENI WANASIASA WANAO WASHAWISHI MSISHIRIKI UCHAGUZI MKUU- DKT NDUMBARO
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa rai kwa Watanzania wote kuwapuuza wanasiasa wanao washawishi kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025. Ndumbaro ametoa rai hiyo leo katika uwanja wa Mashujaa manispaa ya Bukoba wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Mkoani Kagera. Amesema kwa mujibu […]
Read More