MALI ZA MAGENDO ZITAKAZOKAMATWA NCHINI KUTAIFISHWA, MWENDA AFUNGUKA
Wakati Tanzania ikiungana na nchi nyingine Duniani kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Forodha, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda ametuma salamu kwa wote wanaojihusisha na uingizaji wa Mali za magendo kuwa zitataifishwa. Akizungumza Jijini Dar es Salaam leo tarehe 26.01.2025 katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Forodha Kamishna […]
Read More