WAJUMBE KAMATI YA BUNGE UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAKUTANA NA WAZIRI WA UTUMISHI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria chini ya Mwenyekiti wake, Mheshimiwa Dkt. Joseph Mhagama (Mb) ilipokutana na Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais, Menejinenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George Simbachawene (Mb) ili kupata maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Tume ya Mipango wa Mwaka 2023.
Read More