IGP WAMBURA: MAOFISA NA ASKARI KUPATIWA MAFUNZO MAALUM
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Camillus M.Wambura IGP akiwa na ujumbe wa Maofisa watano kutoka Jeshi la Polisi Tanzania leo Mei 15,2023 wameanza rasmi ziara ya kikazi Nchini Ireland ambapo ametembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Ireland “An Garda Síochána” na kukutana na Deputy Commissioner Anne Marie McMahon.Wameweza kubadilishana uzoefu wa namna ya […]
Read More