SAME WAMPA MAUA YAKE RAIS SAMIA KUKAMILIKA KWA UJENZI WA DARAJA LILILOBOMOKA
Na Mwandishi Wetu WANANCHI wanaotumia barabara ya Same – Mkomazi wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa haraka wa daraja lililovunjika katika kijiji cha Mpirani, Same mapema mwezi huu kutokana na mvua. Wakizungumza na waandishi wa habari kwa nyakati tofauti, wananchi hao wameeleza kwamba kukatika kwa daraja hilo kulikata mawasiliano ya barabara […]
Read More