TRA NJOMBE YAWAFUATA WALIPAKODI NA KUGEUZA GARI KUWA OFISI

TRA NJOMBE YAWAFUATA WALIPAKODI NA KUGEUZA GARI KUWA OFISI

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Njombe imelazimika kugeuza gari kuwa ofisi baada ya kuwafuata Walipakodi katika kijiji cha Ukalawa wilaya ya Njombe vijijini Jimbo la Lupembe umbali wa Km 75.9 kutoka Njombe mjini kwa lengo la kuwapelekea huduma karibu na maeneo yao. Akizungumza wakati wa zoezi hilo Afisa Msimamizi wa Kodi mkoa wa […]

Read More
 RAIS SAMIA MGENI RASMI TUZO YA MLIPAKODI BORA JANUARY 23.2025

RAIS SAMIA MGENI RASMI TUZO YA MLIPAKODI BORA JANUARY 23.2025

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kufanya maadhimisho ya siku ya shukrani na kutoa tuzo kwa Walipakodi bora kwa mwaka 2023/2024 tukio litakalofanyika Jijini Dar es Salaam January 23.2025. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Arusha Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano Bw. Richard Kayombo amesema mgeni rasmi katika maadhimisho hayo anatarajiwa kuwa Rais […]

Read More
 “MSIWAONEE HURUMA WANAOKWEPA KODI” DK. MWIGULU NCHEMBA

“MSIWAONEE HURUMA WANAOKWEPA KODI” DK. MWIGULU NCHEMBA

Na Mwandishi Wetu, Arusha Waziri wa Fedha Mhe. Dk. Mwigulu Nchemba ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutowaonea huruma watu wanaokwepa Kodi bila kujali ukubwa au umaarufu wao. Akifungua kikao cha nusu mwaka cha kutathmini utendaji kazi wa TRA kwa mwaka wa fedha 2024/2025 Jijini Arusha leo tarehe 06.01.2025 Waziri wa Fedha Dk. Nchemba amesema […]

Read More