DKT. BITEKO AKAGUA UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU NA JENGO LA WIZARA YA NISHATI DODOMA

DKT. BITEKO AKAGUA UJENZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU NA JENGO LA WIZARA YA NISHATI DODOMA

📌 Aagiza ujenzi ukamilishwe haraka 📌 Majengo yakamilika kwa asilimia 88 📌 Wakandarasi waomba nyongeza siku 90 Na Mwandishi Wetu, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefanya ziara katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma kukagua maendeleo ya ujenzi majengo ya Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu […]

Read More
 MATOKEO KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE KWA MWAKA 2024 HAYA HAPA

MATOKEO KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE KWA MWAKA 2024 HAYA HAPA

Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili, takwimu zikionyesha kwa darasa la nne wasichana wamefanya vizuri zaidi ukilinganisha na wavulana wakati kwa kidato cha pili wavulana wameongoza DARASA LA NNE https://matokeo.necta.go.tz/results/2024/sfna/sfna.htm KIDATO CHA PILI https://matokeo.necta.go.tz/results/2024/ftna/ftna.htm

Read More
 DKT. BITEKO AHIMIZA UPENDO, KUVUMILIANA KATIKA KULETA MAENDELEO NCHINI

DKT. BITEKO AHIMIZA UPENDO, KUVUMILIANA KATIKA KULETA MAENDELEO NCHINI

📌Asema Rais Samia anaendelea kuweka Historia Nchini 📌Asema Rais amenuia kupunguza changamoto za Watanzania Na Mwandishi Wetu. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kuendeleza upendo mshikamano na kuvumiliana zikiwa nyenzo muhimu za kufikia maendeleo na ustawi wa Taifa. Dkt. Biteko […]

Read More
 TRA KUSHIRIKIANA NA BAKWATA KUTOA ELIMU YA KODI

TRA KUSHIRIKIANA NA BAKWATA KUTOA ELIMU YA KODI

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kushirikiana na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kutoa Elimu ya Kodi ili kuhamasisha Wananchi kulipa kodi kwa hiari. Hayo yamebainishwa wakati wa mazungumzo baina ya Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda alipomtembelea na kufanya mazungumzo na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dr. Sheikh Abubakar Ali […]

Read More
 TRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO YA MWEZI DESEMBA

TRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO YA MWEZI DESEMBA

Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imevunja rekodi ya makusanyo tangu kuanzishwa kwake kwa kukusanya Sh. Trilion 3.587 kwa Mwezi Desemba sawa na asilimia 103.52 ya lengo ambalo lilikuwa ni kukusanya Sh. Trilion 3.465 ambalo ni sawa na ukuaji wa asilimia 17.59 ukilinganisha na kiasi cha Sh. Trilion 3.050 zilizokusanywa Desemba mwaka 2023. Akizungumza na Waandishi […]

Read More
 MBUNGE SEKIBOKO AANDIKA HISTORIA MPYA TANGA

MBUNGE SEKIBOKO AANDIKA HISTORIA MPYA TANGA

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kudumu wa Kamati ya Bunge Elimu Utamaduni na Michezo, Husna Sekiboko, amewawezesha wanawake zaidi ya 800 kutoka wilaya tisa za Mkoa wa Tanga kupata mafunzo ya ujasiriamali. Mafunzo hayo, yaliyoandaliwa na Husna Sekiboko na kufanyika wilayani Korogwe, yamelenga kuwasaidia wanawake kufikia maendeleo kupitia biashara […]

Read More
 TRA KUONGEZA IDADI YA WAENDESHA UCHUMI WALIOIDHINISHWA

TRA KUONGEZA IDADI YA WAENDESHA UCHUMI WALIOIDHINISHWA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ipo katika mkakati wa kuongeza idadi ya Waendesha Uchumi Walioidhinishwa (Authorized Economic Operators (AEO)) ili kuongeza kasi ya uendeshaji wa shughuli za Uchumi nchini ikiwemo uondoshaji mizigo Bandarini na usafirishaji kwenda nchi jirani. Akizungumza wakati wa kukabidhi vyeti kwa AEO 5 zilizopatiwa leseni msimu huu Kamishna Mkuu wa TRA Bw. […]

Read More