TUTAWASAIDIA KUONDOA VIKWAZO VYA KIBIASHARA – CG MWENDA
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda amewaahidi wafanyabiasha na watoa huduma mbalimbali nchini kuwa Serikali ipo kwaajili ya kuweka Mazingira mazuri ya kufanyia shughuli zao ili ikusanye mapato bila shida. Akiwa ziarani mkoani Kilimanjaro kwaajili ya kuwashukuru na kuwasikiliza Walipakodi Kamishna Mkuu Mwenda amesema wafanyabiasha na watoa huduma mbalimbali wanapokutana […]
Read More