BUMBULI YAVUKA LENGO LA UANDIKISHAJI, 105.7% WAJIANDIKISHA

BUMBULI YAVUKA LENGO LA UANDIKISHAJI, 105.7% WAJIANDIKISHA

Halmashauri ya Bumbuli, Mkoani Tanga, imefanikiwa kuvuka lengo la uandikishaji kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwa kupata asilimia 105.7. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Baraka Zikatimu, alifafanua kuwa lengo lilikuwa kuandikisha watu 88,395, lakini walioandikishwa ni 93,392. Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, alisema kuwa kambi yake ya hamasa, kwa ushirikiano na viongozi wa chama […]

Read More
 TANZANIA YANYAKUA TUZO NNE ZA UTALII BARANI AFRIKA

TANZANIA YANYAKUA TUZO NNE ZA UTALII BARANI AFRIKA

Kwa mara nyingine tena, Tanzania imeibuka Mshindi kwa kujinyakulia tuzo nne katika Tuzo za Utalii zinazotolewa na World Travel Awards ya Nchini Marekani. Tuzo hizo ni pamoja na Eneo Bora la Utalii Afrika (Tanzania), Bodi Bora ya Utalii Afrika (TTB), Hifadhi Bora ya Afrika (Serengeti), na Kivutio Bora cha Utalii Afrika (Mlima Kilimanjaro). Tuzo hizi […]

Read More
 SERIKALI YATOA SH3.5BILIONI KUJENGA BARABARA YA LAMI MILOLA

SERIKALI YATOA SH3.5BILIONI KUJENGA BARABARA YA LAMI MILOLA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepeleka fedha za ujenzi wa barabara mkoani Lindi na amemwagiza Meneja wa TANROADS wa mkoa huo, Mhandisi Emil Silas Zengo ahakikishe barabara ya Kata ya Milola inawekwa lami mapema iwezekanavyo. Amefikia hatua hiyo baada ya Mhandisi Zengo kukiri kuwa walishapokea fedha kiasi cha sh.bilioni 3.5 ambazo zililenga kujenga barabara […]

Read More
 ROYAL TOUR YA RAIS SAMIA YAING’ARISHA SERENGETI NA MLIMA KILIMANJARO KIMATIFA

ROYAL TOUR YA RAIS SAMIA YAING’ARISHA SERENGETI NA MLIMA KILIMANJARO KIMATIFA

Taasisi ya World Travel Awards imetangaza hifadhi mbili za Tanzania kuwa washindi katika vipengele vya Hifadhi na kivutio bora cha utalii barani Afrika kwa mwaka 2024 ambapo ni hifadhi ya Taifa Serengeti ambayo imetangazwa kuwa mshindi katika kipengele cha Hifadhi Bora Barani Afrika (“Africa’s Leading National Park 2024”) wakati Mlima Kilimanjaro ikitangazwa kuwa Kivutio bora […]

Read More
 “UBINAFSI UNALIANGAMIZA TAIFA, TANZANITE IMEANGUKA” GAMBO

“UBINAFSI UNALIANGAMIZA TAIFA, TANZANITE IMEANGUKA” GAMBO

Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameitaka serikali kufanya mabadiliko ya sheria na kanuni zinazosimamia biashara ya madini ya Tanzanite, akisisitiza kuwa zuio la kuuza madini hayo nje ya eneo la Mererani linachangia hasara kubwa kwa taifa. Gambo ameyasema hayo Ijumaa, Oktoba 18, 2024, wakati wa mkutano na wafanyabiashara wa madini na ma-brokers uliofanyika katika […]

Read More
 MAKAMBA APIGA KAMBI BUMBULI, KUONGEZA KASI YA UANDIKISHAJI

MAKAMBA APIGA KAMBI BUMBULI, KUONGEZA KASI YA UANDIKISHAJI

Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba amewataka wakazi wa jimbo hilo kuendeleza kasi ya kujiandikisha ili kufikia au kupita lengo lilojiwekea la uandikishaji. Mbunge huyo ambaye amepiga kambi jimboni kwa ajili ya kuhamasisha uandikishaji amewapongeza wakazi wa jimbo hilo kwa kujitokeza kwa wingi na kuwezesha halmashauri ya Bumbuli kuwa miongoni mwa halmashauri zinazofanya vizuri […]

Read More
 WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT SAMIA MAZIKO YA BABA WA KATIBU MKUU KIONGOZI

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT SAMIA MAZIKO YA BABA WA KATIBU MKUU KIONGOZI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Oktoba 16, 2024 amemwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maziko ya Mzee Jeremiah Kusiluka ambaye ni Baba mzazi wa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka yaliyofanyika katika kijiji cha Madihani, Makete mkoani Njombe. Akitoa salamu za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia […]

Read More