WAZIRI MKUU MAJALIWA: LISHE BORA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI

WAZIRI MKUU MAJALIWA: LISHE BORA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa suala ya lishe ni kipaumbele muhimu kwa Serikali katika kuwezesha utekelezaji wa mipango ya maendeleo na shughuli za kiuchumi kwa jamii jamii zikiwemo za kilimo, uvuvi, ufugaji na biashara. Amesema hayo leo (Alhamisi, Oktoba 03, 2024) wakati alipofunga Mkutano Mkuu wa Kumi wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa […]

Read More
 BASHUNGWA AWABANA WAKANDARASI WANAOJENGA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA, ATAKA KAZI IKAMILIKE KWA WAKATI.

BASHUNGWA AWABANA WAKANDARASI WANAOJENGA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA, ATAKA KAZI IKAMILIKE KWA WAKATI.

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port – Matumbulu – Nala (km 60) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC kuwasilisha mpango kazi utakaomuwezesha kukamilisha ujenzi […]

Read More
 MKOTYA MWENYEKITI MPYA WA BODI MGOMBEZI AMCOS, ASISITIZA NIDHAMU

MKOTYA MWENYEKITI MPYA WA BODI MGOMBEZI AMCOS, ASISITIZA NIDHAMU

Na Mwandishi Wetu, Korogwe WAKULIMA wa Chama cha ushirika cha msingi cha wakulima wadogo wa mkonge (Mgombezi Amcos) wamemchagua mwanahabari Khamis Mkotya kuwa Mwenyekiti wa Bodi. Uchaguzi huo umefanyika Septemba 21, 2024 katika eneo la Mgombezi lililopo wilayani Korogwe mkoani Tanga, ambapo wajumbe walichagua bodi mpya itakayokaa madarakani kwa kipindi cha miaka mitatu. Mkotya ambaye […]

Read More