HUDUMA JUMUISHI ZA KIFEDHA NI KIUNGO MUHIMU CHA UKUAJI UCHUMI – MAJALIWA

HUDUMA JUMUISHI ZA KIFEDHA NI KIUNGO MUHIMU CHA UKUAJI UCHUMI – MAJALIWA

Huduma jumuishi za kifedha ni kiungo cha ukuaji uchumi – MajaliwaWAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa huduma jumuishi za kifedha ni kiungo muhimu cha ukuaji wa uchumi, kupunguza umasikini na kuchochea maendeleo ya jamii kwa ujumla. Amesema Serikali kwa kutambua hilo imedhamiria kuendelea kushirikiana na wadau wote ili kuhakikisha sekta ya kifedha inazidi kuwa jumuishi, […]

Read More
 WANA ARUSHA WAASWA KUCHANGAMKIA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

WANA ARUSHA WAASWA KUCHANGAMKIA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini, amepongeza uongozi wa mkoa wa Arusha kwa maandalizi mazuri kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, huku akiwataka wananchi wa Arusha kuchangamkia fursa ya msaada wa kisheria unaotolewa kupitia Mama Samia Legal Aid Campaign. Akizungumza leo Machi 1, 2025, jijini Arusha wakati alipotembelea mabanda […]

Read More
 RAIS SAMIA ATANGAZA MAONO MAKUBWA KWA MKOA WA TANGA

RAIS SAMIA ATANGAZA MAONO MAKUBWA KWA MKOA WA TANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezungumza na wananchi wa Tanga katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Ijumaa Februari 28, 2025 Uwanja wa CCM Mkwakwani, akieleza maono yake makubwa kwa maendeleo ya mkoa huo. Katika hotuba yake, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa usimamizi thabiti wa miradi ya maendeleo ili kuhakikisha […]

Read More
 TRILIONI 2.7 ZALETA MAGEUZI MAKUBWA KATIKA MIUNDOMBINU YA BARABARA TANZANIA

TRILIONI 2.7 ZALETA MAGEUZI MAKUBWA KATIKA MIUNDOMBINU YA BARABARA TANZANIA

Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ameweka wazi mafanikio makubwa ya serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ujenzi wa miundombinu, akifichua kuwa kilometa 1,366 za barabara zenye thamani ya shilingi trilioni 2.7 zimekamilika nchini, huku madaraja makubwa yakijengwa na kukamilika kwa kasi ya hali ya juu. Akizungumza leo Februari 26, 2025, katika mkutano […]

Read More
 RAIS SAMIA AZIDI KUIFUNGUA TANGA, BARABARA, BANDARI NA VIWANDA KUKUZA UCHUMI

RAIS SAMIA AZIDI KUIFUNGUA TANGA, BARABARA, BANDARI NA VIWANDA KUKUZA UCHUMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Mkoa wa Tanga unakwenda kuwa kitovu cha uchumi wa kimataifa kwa uwekezaji mkubwa unaofanyika, ukiwemo ujenzi wa barabara kuu, uboreshaji wa bandari, viwanda vikubwa na miundombinu ya kisasa inayounganisha Tanzania na nchi jirani. Akizungumza leo Jumatano, Februari 26, 2025, katika mkutano […]

Read More