BARABARA ZA VIJIJINI KUFUNGUA RUANGWA – MAJALIWA

BARABARA ZA VIJIJINI KUFUNGUA RUANGWA – MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kufungua mtandao wa barabara za vijijini katika wilayaya Ruangwa ili ziweze kusaidia wananchi kusafirisha mazao yao. Waziri Mkuu Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa alitoa kauli hiyo jana jioni (Ijumaa, Agosti 23, 2024) wakati akizungumza na wakazi wa kijiji cha Namikulo, Kata ya Chunyu, wilayani Ruangwa, […]

Read More
 HOSPITAL YA WILAYA YA BUMBULI KUANZA KUTOA HUDUMA SEPTEMBER MOSI

HOSPITAL YA WILAYA YA BUMBULI KUANZA KUTOA HUDUMA SEPTEMBER MOSI

Raisa Said, Bumbuli Shughuli za tiba katika Hospitali mpya ya Halmashauri ya wilaya ya Bumbuli, mkoani Tanga zinatarajia kuzinduliwa Septemba mosi, mwaka huu, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Baraka Zikatimu amaesema hapa. Akijibu swali lililoulizwa na mmojawapo wa wajumbe wa Baraza la Madiwani la Halmashauri hiyo wakati wa kikao cha robo ya nne, Zikatimu amesema […]

Read More
 WAKANDARASI, REA FANYENI KAZI KWA UADILIFU NA KUKAMILISHA KWA WAKATI – DKT. BITEKO

WAKANDARASI, REA FANYENI KAZI KWA UADILIFU NA KUKAMILISHA KWA WAKATI – DKT. BITEKO

📌Awataka REA, Wakandarasi kuwajibika utekelezaji wa miradi 📌Mkataba wa Shilingi bilioni 362 wasainiwa 📌 Vitongoji 3,060 kupelekewa umeme Wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali ya Kimkakati ya Nishati hususan miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kukamilisha kwa wakati na REA kuwasimamia wakandarasi kwa kutenda haki. Hayo yamebaibishwa leo Agosti 20, […]

Read More
 SERIKALI YAOKOA DOLA 600MILIONI CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA MIEZI MINNE YA DP WORLD BANDARINI

SERIKALI YAOKOA DOLA 600MILIONI CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA MIEZI MINNE YA DP WORLD BANDARINI

Uwekezaji bandarini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, umeanza kuonyesha matunda makubwa baada ya serikali ya Tanzania kuokoa kiasi cha dola milioni 600 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na DP World. Kupungua kwa gharama za usafirishaji wa mizigo kumechochea ukuaji wa uchumi na kuongeza ajira kwa wananchi ikiweka Tanzania katika […]

Read More
 TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA MAFUTA NA GESI MACHI 2025

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA MAFUTA NA GESI MACHI 2025

📌Wadau Sekta ya Nishati zaidi ya 1000 kushiriki 📌Dkt. Biteko awataka wadau kushirikiana kuelekea mkutano huo 📌Nishati Safi ya kupikia kupewa kipaumbele Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki katika kikao cha maandalizi ya Mkutano na Maonesho ya 11 ya Petroli ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAPCE’25) […]

Read More
 DKT. BITEKO: MARATHON ZITUMIKE KUWAPA TABASAMU WENYE UHITAJI

DKT. BITEKO: MARATHON ZITUMIKE KUWAPA TABASAMU WENYE UHITAJI

📌CRDB Bank yatoa zaidi ya Shilingi Bilioni 1.2 kuboresha Sekta ya Afya 📌 Watu zaidi ya 10000 washiriki CRDB Bank Marathon 2024 📌 Michezo ni Ajira, Biashara na Uchumi Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa rai kwa wadau wote wa Sekta ya Michezo kutumia Marathon zinazofanyika […]

Read More
 TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME – DKT. BITEKO

TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME – DKT. BITEKO

📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP 📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha masoko cha kuuziana umeme 📌Wanachama EAPP watachangia Megawati Elfu 90 kwenye soko la pamoja la kuuziana umeme Kampala, Uganda Tanzania imejipanga vema kuhakikisha inatumia fursa ya uwepo wa soko la pamoja la mauziano ya umeme kwa […]

Read More
 WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

Aahidi kuendeleza ushirikiano baina ya nchi hizo WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali za Tanzania na Cuba zitaendelea kushirikiana katika sekta za Elimu, Afya, Kilimo, Utalii na Masuala ya Teknolojia. Ameeleza hayo baada ya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa yaliyofanyika Revolutionary Square, Havana nchini Agosti 13, 2024. Mheshimiwa Majaliwa […]

Read More