MIKAKATI YA KUMFUKUZA UANACHAMA KADA WA CHADEMA MCHOME YAPANGIKA

MIKAKATI YA KUMFUKUZA UANACHAMA KADA WA CHADEMA MCHOME YAPANGIKA

Habari zilizotufiki hivi punde zinaeleza kuwa Vigogo wajuu wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu na katibu mkuu, John Mnyika wamepanga kumfukuza uanachama Lembrus Mchome, kada aliyehoji uteuzi wa viongozi wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu. Pia, vigogo hao akiwemo Godbless Lema wamedhamiria kumfukuza uanachama kada huyu maarufu na kumvua wadhifa wake […]

Read More
 WAZIRI AWESO AWAFAGILIA DAWASA, ABARIKI MASHIRIKIANO YAO NA WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA

WAZIRI AWESO AWAFAGILIA DAWASA, ABARIKI MASHIRIKIANO YAO NA WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA

Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameishukuru Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) kwa kuweza kukutana na Wenyeviti wa Serikali za mitaa kwani anaamini kuwa mashirikiaono hayo yatasaidia kuboresha huduma hiyo kwani watakuwa mabalozi wao kila mahali inapopatikana huduma hiyo. Waziri Aweso ameyasema haya leo february 18, 2025 katika kikao kazi […]

Read More
 BIASHARA SAA 24 ITAONGEZA MAPATO – RC CHALAMILA

BIASHARA SAA 24 ITAONGEZA MAPATO – RC CHALAMILA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila amesema Jiji la Dar es Salaam litakapoanza kufanya biashara saa 24 mapato ya Wafanyabiashara yataongezeka sambamba na kukua kwa uchumi wa nchi kwa ujumla kutokana na kuongezeka kwa wigo wa biashara. Ameyasema hayo leo tarehe 18.02.2025 alipomtembelea Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) […]

Read More
 RAIS DKT. SAMIA NI TIBA YA MAENDELEO-MAJALIWA

RAIS DKT. SAMIA NI TIBA YA MAENDELEO-MAJALIWA

▪Asema Rais Dkt. Samia amedhamiria kutekeleza na kukamilisha miradi yote ya kimkakati. ▪Asema Rais Dkt. Samia ni kiongozi anayeona na kusikiliza matatizo ya watu. ▪Asema CCM itaendelea kuwahudumia Watanzania kwa weledi na uaminifu mkubwa. ▪Asisitiza CCM imeleta, inaleta na itaendelea kuleta miradi ya maendeleo. ▪Asema chama hicho kinasema, kinaahidi na kinatekeleza. Mjumbe wa Kamati Kuu […]

Read More
 MAJALIWA:TUNAKWENDA NA DKT SAMIA NA DKT NCHIMB, CCM IPO TAYARI KWA UCHAGUZI 2025, WANANCHI ITILIMA JIPANGENI

MAJALIWA:TUNAKWENDA NA DKT SAMIA NA DKT NCHIMB, CCM IPO TAYARI KWA UCHAGUZI 2025, WANANCHI ITILIMA JIPANGENI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewahimiza wananchi wa Itilima kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025 huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuunga mkono Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Akizungumza kama […]

Read More