NYANGASA: KISARAWE JITOKEZENI KUPIMA MOYO
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mhe.Fatma Nyangasa akizungumza na wananchi waliofika katika Hospitali ya wilaya hiyo kwajili ya kupata huduma ya uchunguzi na matibabu ya moyo wakati wa kambi maalum ya siku tatu ya matibabu inayofanyika wilayani humo. Wananchi wa Kisarawe na wilaya jirani wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupata huduma za upimaji, ushauri na matibabu ya […]
Read More