SERIKALI YAANDAA MFUMO WA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA

SERIKALI YAANDAA MFUMO WA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema akifafanua jambo katika kikaokazi cha kuainisha mahitaji ya mfumo wa kielektroniki wa usajili na usimamizi wa Mifuko na Programu za uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kilichofanyika jijini Dodoma. Serikali inaada mfumo wa kielektroniki wa Huduma Ndogo za Fedha ili kuboresha ufanisi wa usimamizi wa Mifuko na Programu za […]

Read More
 RAIS SAMIA AFANYA UHAMISHO MKUBWA WA WAKUU WA MIKOA

RAIS SAMIA AFANYA UHAMISHO MKUBWA WA WAKUU WA MIKOA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametekeleza uamuzi wa kufanya uhamisho mkubwa wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa katika nchi hiyo. Uhamisho huo umelenga kuleta mabadiliko na kuimarisha utendaji katika ngazi za uongozi wa mikoa. Katika uhamisho huo, Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Kabla […]

Read More
 MASHINDANO YA NETIBOLI YAFANA MALYA

MASHINDANO YA NETIBOLI YAFANA MALYA

Kwa muda wa mwezi mmoja sasa katika viwanja vya ndani vya Chuo Cha Maendeleo yaMichezo Malya kunafanyika Ligi ya Netiboli inayokusanya timu kadhaa za eneo la Malya wilayaya Kwimba, Mkoani Mwanza ambapo sasa yamefikia nusu fainali. Ligi hiyo iliyoanza Mei 1, 2023 Malya Queen Walifungua dimba na Malya Sekondari, MalyaQueen wakishinda kwa magoli 21 kwa […]

Read More
 MAJALIWA AAGIZA KUONDOLEWA KWA KIKOSI KAZI ‘TASK FORCE’ YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA.

MAJALIWA AAGIZA KUONDOLEWA KWA KIKOSI KAZI ‘TASK FORCE’ YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA.

Jumuiya ya Wafanyabiashara wa soko la Kimataifa la Kariakoo wamekubali kuendelea kufanya biashara katika soko hilo baada ya Serikali kuridhia kuendelea kutatua changamoto mbalimbali zinazowakibili. Wamefikia uamuzi huo leo (Jumatatu, Mei 15, 2023) baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufika katika soko hilo na kuzungumza nao kufuatia mgomo ulioanza mapema Mei 15, 2023 ambapo walilalamikia […]

Read More
 WANANCHI MANYARA WAPIMWA MOYO

WANANCHI MANYARA WAPIMWA MOYO

Wananchi wa Mkoa wa Manyara wameishukuru Taasisi ya MoyoJakaya Kikwete (JKCI) kwa kuwapeleka wataalam wa afya mabingwa wa moyo kwaajili ya kuwafanyia uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo.Hayo yamesemwa na wananchi mbalimbali waliojitokeza katika Hospitali ya RufaaMkoa wa Manyara (MRRH) kwa ajili ya kupima moyo wakati wa kambi maalum yasiku tano iliyoanza leo ikifanywa […]

Read More
 SERIKALI KUBORESHA USIMAMIZI WA BIASHARA ZA MTANDAO

SERIKALI KUBORESHA USIMAMIZI WA BIASHARA ZA MTANDAO

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) alikijibu swali, bungeni jijini Dodoma. Serikali imesema kuwa imeanzisha kitengo maalum kinachosimamia biashara za mtandao, ikiwa ni pamoja na kubuni na kuboresha mifumo ya usimamizi wa biashara za mtandao ili kuwezesha utambuzi, usajili na ukusanyaji wa kodi stahiki. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na […]

Read More
 KAMBI YA UPASUAJI MOYO KWA WATOTO YAANZA JKC

KAMBI YA UPASUAJI MOYO KWA WATOTO YAANZA JKC

Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka mradi wa Little Heart wa Shirika la  Muntada Aid lenye makao yake makuu mjini London nchini Uingereza wakimfanyia mtoto kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography) mara baada ya kumaliza kutanua Valvu ya moyo […]

Read More