WALIPAKODI MKOANI TABORA WAAHIDI USHIRIKIANO NA TRA

WALIPAKODI MKOANI TABORA WAAHIDI USHIRIKIANO NA TRA

Walipakodi mkoani Tabora wameahidi kuendelea kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kulipa Kodi kwa hiari na kuwafichua Wafanyabiashara wanaokwepa Kodi. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika mkutano baina yao na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda Wafanyabiashara hao wamesema wanajivunia kulipa Kodi kutokana na maendeleo makubwa yanayofanywa na […]

Read More
 “TUTAENDELEA KUSIMAMIA USTAWI WA BIASHARA NCHINI” CG MWENDA

“TUTAENDELEA KUSIMAMIA USTAWI WA BIASHARA NCHINI” CG MWENDA

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema TRA itaendelea kusimamia ustawi wa biashara nchini kwa kuhakikisha kuwa hakuna biashara inayokufa ili uchumi wa nchi uendelee kuimarika. Akizungumza na Wafanyabiashara mkoani Singida Februari 05.2025 Kamishna Mkuu wa TRA amesema miongoni mwa majukumu ya TRA ni kuwezesha ukuaji wa biashara na […]

Read More
 WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO WATAKIWA KUWAFICHUA WAKWEPA KODI

WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO WATAKIWA KUWAFICHUA WAKWEPA KODI

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amewataka Wafanyabiashara wa Kariakoo Jijini Dar es Salaam kuwafichua watu wanaokwepa Kodi kwa namna mbalimbali ili wachukuliwe hatua na kuleta ushindani uliosawa sokoni. Akizungumza leo tarehe 04/02/2025 wakati wa kuwasimika Mabalozi wa nyumba kwa nyumba kwaajili ya kusimamia zoezi la kurasimisha biashara ili […]

Read More
 RAIS SAMIA AMEING’ARISHA CHAMWINO KIMAENDELEO – DKT. BITEKO

RAIS SAMIA AMEING’ARISHA CHAMWINO KIMAENDELEO – DKT. BITEKO

📌Serikali imewekeza zaidi ya bilioni 13 elimu ya Sekondari Chamwino 📌Uboreshaji wa miundombinu shilingi bilioni 17.9 zimetumika 📌Vijiji vyote 47 Chamwino vimewashwa umeme 📌Asema Sekta ya Nishati ipo salama Na Mwandishi Wetu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya kuing’arisha Chamwino kwa kutatua changamoto mbalimbali za […]

Read More
 KKKT KUSHIRIKIANA NA TRA KUTOA ELIMU YA KODI

KKKT KUSHIRIKIANA NA TRA KUTOA ELIMU YA KODI

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) linatarajia kuanza kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoa elimu ya Kodi makanisani ili kuongeza idadi ya walipakodi Kodi kwa hiari na kuleta usawa katika ulipaji wa Kodi. Hayo yamebainishwa katika kikao cha pamoja baina ya Askofu Mkuu wa KKKT Dk. Alex Malasusa na Kamishna Mkuu wa […]

Read More
 IMAMU WA MECCA KUTUA DAR NI KWENYE MASHINDANO YA KURANI TUKUFU

IMAMU WA MECCA KUTUA DAR NI KWENYE MASHINDANO YA KURANI TUKUFU

*Rais Samia aalikwa kuwa mgeni raffia*Saudia yatoa ofa ya kwenda kuhiji Na Mwandishi Wetu IMAMU wa mojawapo ya misikiti mitakatifu ya Kiislamu huko Mecca na Medina, anatarajiwa kuja nchini kushuhudia mashindano ya kimataifa ya Kurani Tukufu yaliyopangwa kufanyika Februari 23 mwaka huu. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Tuzo ya Kimataifa Quran Tukufu Tanzania, […]

Read More
 TANZANIA NA COMORO KUSHIRIKIANA SEKTA YA NISHATI

TANZANIA NA COMORO KUSHIRIKIANA SEKTA YA NISHATI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko amekutana na Waziri wa Nishati wa Umoja wa Visiwa vya Comoros, Dkt Aboubacar Anli na kukubaliana maeneo kadhaa ya ushirikiano katika Sekta ya Nishati. Awali, Waziri wa Nishati wa Comoros alieleza umuhimu wa ushirikiano kwenye sekta hiyo baina ya Comoro na Tanzania hususan […]

Read More
 TANZANIA YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIANO NA BURUNDI SEKTA YA NISHATI

TANZANIA YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIANO NA BURUNDI SEKTA YA NISHATI

📌Burundi yaipongeza Tanzania kwa mafanikio ya nishati 📌Wampongeza Rais Samia kudumisha amani nchini Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Serikali imeahidi kuendelea kushirikiana na nchi ya Burundi katika nyanja mbalimbali za maendeleo ikiwemo sekta ya nishati. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko katika […]

Read More
 MKUTANO WA NISHATI AFRIKA (M300) KUCHOCHEA MAENDELEO YA WANAAFRIKA

MKUTANO WA NISHATI AFRIKA (M300) KUCHOCHEA MAENDELEO YA WANAAFRIKA

📌Dkt. Biteko asema utachochea utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Nishati 📌Ahamasisha uwekezaji katika Sekta ya Nishati 📌 WB, AfDB zampongeza Rais Samia kuwa Kinara Sekta ya Nishati 📌Lengo la Tanzania kuzalisha megawati 4,000 za umeme 📌Nishati safi ya kupikia kupewa kipaumbele Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto […]

Read More