SERIKALI YACHANGIA MASHABIKI KUISHUHUDIA YANGA AFRIKA KUSINI
WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesaidia kugharamia usafiri wa mashabiki 55 wa timu ya Yanga kwenda Afrika Kusini katika mchezo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) huku Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma akitarajia kuongoza msafara huo. Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Bw. Saidi Yakubu […]
Read MoreRAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA MINARA 758
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoawito kwa Makampuni ya simu kubuni teknolojia ya gharama nafuu itakayowezeshakila Mtanzania kupata huduma ya mawasiliano popote alipo nchini. Rais Samia ametoa wito huo leo wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji hudumaza mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na […]
Read MoreWIZARA YA AFYA YAKAMILISHA UJENZI HUDUMA ZA DHARURA
Serikali imefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya afya kwa kuweka mfumo madhubuti wa huduma za dharura na ajali kuanzia ngazi ya Taifa hadi wilaya ambapo matokeo ya uwekezaji huo ni kupunguza vifo kwa 40% ndani ya hospitali na kuokoa maisha ya wananchi wanaohitaji huduma za dharura nchini. Akiwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/2024 […]
Read MoreWAFUGAJI WANAOTOROSHA MIFUGO NJE YA NCHI WAONYWA
Wafugaji wanaotorosha mifugo yao kwenda nje ya nchi bila kufuata utaratibu uliowekwa naSerikali wametakiwa kuacha vitendo hivyo kwani hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia Wizi wa mifugo Nchini Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP SimonPasua ameyasema hayo leo wakati alipotembelea mnada wa Themi maarufu ‘‘Lokii’’ uliopowilayani Arumeru kwa lengo la kutoa elimu […]
Read MoreRAIS SAMIA AFANYA UTEUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi (Portfolio Investment AdvisoryBoard). Aidha, Mheshimiwa Rais amewateua Wajumbe wa Bodi hiyo kamaituatavyo:- Uteuzi huu umeanza tarehe […]
Read MoreWAZIRI BASHUNGWA: SERIKALI INAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIKOSI VYA JESHI
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa (Mb) amesema Wizara inaendelea kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi na kuboresha miundombinu mbalimbali kwenye vikosi vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ikiwemo ukarabati wa makambi na nyumba za makazi kwa maafisa na askari. Bashungwa amesema hayo leo tarehe 12 Mei 2023 wakati […]
Read MoreJENGO LA YANGA KUKARABATIWA
Mkurugenzi wa Wanachama wa timu hiyo Haji Mfikirwa anabainisha kuwa Klabu ya Yanga Sc imeingia makubaliano ya ushirika na kampuni ya rangi ya Robbialac kwaajili ya ukarabati wa jengo lao la Makao Makuu yaliyopo mitaa ya Twiga na Jangwani Dar es Salaam.
Read MoreCCM, JUMIKITA USO KWA USO
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, Sophia Edward Mjema akizungumza na Jukwaa la Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) pamoja na vyombo vingine kama Magazeti, Televisheni na Redio ikiwa ni katika kuhakikisha mahusiano baina ya Chama Cha Mapinduzi na Wanahabari yanazidi kuwa bora. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam Mei 11, […]
Read MoreSERIKALI KUGHARAMIA MATIBABU KWA MAJERUHI NA MAZISHI YA WANAFUNZI WA AJALI – BAHI
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema Serikali itagharamia mazishi ya Wanafunzi wawili (2) wa shule ya sekondari Mpalanga Wilayani Bahi waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea jana majira ya saa 5:00 asubuhi katika Kijiji cha Chidilo Wilayani humo. Aidha, Mhe. Senyamule ameahidi kuwa, Serikali itagharamia matibabu ya wanafunzi wote majeruhi31 walioumia katika ajali hiyo ambao wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Ajali hiyo imehusisha gari yenye […]
Read More