BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA MAREKEBISHO SHERIA YA PPP

BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA MAREKEBISHO SHERIA YA PPP

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akiwasilisha bungeni, Muswada wa marekebisho ya Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa mwaka 2023, jijini Dodoma  Bunge limepitisha Muswada wa marekebisho ya Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa mwaka 2023 ambayo itawasilishwa […]

Read More
 MATIVILA WA TANROADS ATEULIWA KUWA  NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA RAIS -TAMISEMI (MIUNDOMBINU)

MATIVILA WA TANROADS ATEULIWA KUWA NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA RAIS -TAMISEMI (MIUNDOMBINU)

Mhandisi Rogatus Hussein Mativila Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassanamewateua wafuatao:-i) Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisiya Rais – TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa MtendajiMkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).ii) Amemteua Mhandisi Mohamed Besta kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala waBarabara Tanzania (TANROADS). Mhandisi Besta ni […]

Read More
 TANZANIA YAZINDUA UBALOZI WAKE VIENNA, AUSTRIA

TANZANIA YAZINDUA UBALOZI WAKE VIENNA, AUSTRIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa mataifa Vienna, Austria. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Austria aneyeshughulikia masuala ya Ulaya na Uhusiano wa Kimataifa Mhe. Peter Launsky-Tieffenthal ambaye alihudhuria hafla hiyo […]

Read More
 RAIS DKT. SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA NA TFF

RAIS DKT. SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA NA TFF

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma (kulia)akipokea Tuzo ya Heshima kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa MiguuTanzania (TFF) Ndg. Wallace Karia (kushoto) ikiwa ni kutambua mchango wake katikakuendeleza Soka nchini.Tuzo hiyo ameipokea katika Usiku wa […]

Read More
 BENKI KUU YAZUNGUMZA NA BUNGE KUHUSU HALI YA UCHUMI NA FEDHA ZA KIGENI

BENKI KUU YAZUNGUMZA NA BUNGE KUHUSU HALI YA UCHUMI NA FEDHA ZA KIGENI

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, akizungumza katika semina kwa waheshimiwa Wabunge iliyofanyika leo jijini Dodoma katika Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa.  Benki Kuu ya Tanzania imetoa semina kwa waheshimiwa Wabunge jijini Dodoma kuhusu mwenendo wa uchumi wa dunia, athari za mwenendo huo kwenye upatikanaji wa fedha za kigeni, na hatua zinazochukuliwa […]

Read More
 MEJA JENERALI  MBUGE: TUIMARISHE USHIRIKIANO KUKABILI MAJANGA

MEJA JENERALI  MBUGE: TUIMARISHE USHIRIKIANO KUKABILI MAJANGA

Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Meja  Jenerali  Charles Mbuge  akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha Watalam waliokutana kwa lengo la Kuhuisha na Kutafsiri Mwongozo wa Utekelezaji wa Dhana ya Afya Moja mkoani Singida. Serikali  kupitia  Ofisi  ya Waziri Mkuu imesema itaendelea kuimarisha ushirikiano na sekta mbalimbali katika kukabiliana na […]

Read More
 YANGA YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS

YANGA YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma (kulia)akimkabidhi Nahodha wa timu ya Yanga Bakari Mwamnyeto (kushoto) Kombe laShirikisho la Azam Sports Juni 12, 2023 katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga marabaada ya kuifunga timu ya Azam kwa kwa 1-0. Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu Wizaraya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi […]

Read More
 SERIKALI KUSAINI MKATABA WA UKAGUZI WA MIAMALA YA KIMATAIFA

SERIKALI KUSAINI MKATABA WA UKAGUZI WA MIAMALA YA KIMATAIFA

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akijibu swali bungeni, jijini Dodoma. Serikali inatarajia kusaini mkataba ujulikanao kama (Multilateral Convention on Mutual Administrative Assistance in Tax Matters) ambao utaiwezesha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupata taarifa mbalimbali kutoka nchi 146 duniani ambazo zitasaidia katika kuongeza ufanisi wa ukaguzi wa miamala ya kimataifa. Hayo […]

Read More