NGOs ZINAZOJISHUGHILISHA NA USHOGA, MAPENZI YA JINSIA MOJA MARUFUKU NACHINGWEA

NGOs ZINAZOJISHUGHILISHA NA USHOGA, MAPENZI YA JINSIA MOJA MARUFUKU NACHINGWEA

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo akipiga marufuku NGOs zinazojishughulisha na ushoga, mapenzi ya jinsia moja na usagaji kuwa hazitakiwa kufanya kazi katika wilaya hiyo. MKUU wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amepiga marufuku kwa taasisi na mashirika mbalimbali yasiyo ya kiserikali kujishughulisha mapenzi ya jinsia moja na ushoga.Akizungumza wakati wa kikao […]

Read More
 SERIKALI YA TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA WAWEKEZAJI WA BIASHARA YA HIFADHI YA MAZINGIRA

SERIKALI YA TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA WAWEKEZAJI WA BIASHARA YA HIFADHI YA MAZINGIRA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amesema Serikali inaendelea kufungua milango kwa wawekezaji wa Biashara ili kuhifadhi mazingira.  Amesema hayo leo Juni 06, 2023 wakati wa kikao na Mkuu wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora Dkt. Rashid Chuachua pamoja na ujumbe wake waliomtembelea kwa Kuwasilisha taarifa ya kusudio la kuanzisha mradi wa hifadhi ya misitu […]

Read More
 BANDARI YA KAREMA  KIVUTIO ZIWA TANGANYIKA , YAKWAMISHWA NA UBOVU WA BARABARA

BANDARI YA KAREMA KIVUTIO ZIWA TANGANYIKA , YAKWAMISHWA NA UBOVU WA BARABARA

Meneja wa Bandari za Ziwa Tanganyika, Edward Mabula Bandari ya kimkakati, Karema iliyopo Wilayani Tanganyika, Mkoa wa Katavi ambayo imejengwa kisasa zaidi imeanza kutoa huduma za kibandari ikiwemo kupokea na kusafirisha shehena kwenda sehemu mbalimbali nchini zikiwemo nchi jirani za RDC Congo, Burundi, Zambia na kwingine. Meneja wa Bandari za Ziwa Tanganyika, Edward Mabula amezungumza […]

Read More
 UCHUNGUZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA: KIFO CHA MWANAFUNZI WA UDOM HAKIHUSIANI NA AJALI YA NAIBU WAZIRI DKT. FESTO DUGANGE

UCHUNGUZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA: KIFO CHA MWANAFUNZI WA UDOM HAKIHUSIANI NA AJALI YA NAIBU WAZIRI DKT. FESTO DUGANGE

Tarehe 10 Mei, 2023, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) iliyokuwa na nia ya kufanya uchunguzi juu ya kifo cha Nusura Hassan Abdallah, aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ilitoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari. Uchunguzi huo ulifanywa kwa mujibu wa Sheria ya THBUB, Sura ya 391, ambayo […]

Read More
 TANZANIA NA JAPAN KUSHIRIKIANA KUENDELEZA MICHEZO NCHINI

TANZANIA NA JAPAN KUSHIRIKIANA KUENDELEZA MICHEZO NCHINI

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu (kulia)akisalimiana na Mtaalamu wa michezo kutoka Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA)Dkt. Shiraishi Tomoya (kushoto) Juni 01, 2023 jijini Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesemaWizara hiyo itaendelea kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA) katikasekta ya […]

Read More
 BANDARI MWANZA KUSINI KUFANYIWA MABORESHO YA NGUVU

BANDARI MWANZA KUSINI KUFANYIWA MABORESHO YA NGUVU

Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Ferdinand Nyathi akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Ferdinand Nyathi amesema kuwa, baada ya maboresho ya baadhi ya bandari za ukanda huo, kinachofuata sasa ni maboresho ya Bandari ya Mwanza Kusini.Akizungumza na Waandishi wa Habari katika bandari hiyo Mei 31, 2023, Meneja […]

Read More