Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili, takwimu zikionyesha kwa darasa la nne wasichana wamefanya vizuri zaidi ukilinganisha na wavulana wakati kwa kidato cha pili wavulana wameongoza
DARASA LA NNE https://matokeo.necta.go.tz/results/2024/sfna/sfna.htm
KIDATO CHA PILI https://matokeo.necta.go.tz/results/2024/ftna/ftna.htm