KITAIFA

RAIS SAMIA AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 59 YA UHURU WA MALAWI

RAIS SAMIA AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 59 YA UHURU WA MALAWI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Malawi kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru
wa Nchi hiyo kwenye Sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini humo tarehe 6 Julai, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati
Gwaride la Heshima likipita mbele ya Jukwaa Kuu katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini humo tarehe 6 Julai, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akicheza ngoma pamoja na kikundi kimoja cha ngoma za asili kutoka Malawi wakati wa maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi kwenye Sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa wa Bingu Mutharika, Lilongwe nchini humo tarehe 6 Julai, 2023.

Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akiwa pamoja na viongozi wengine wakicheza ngoma za asili wakati wa maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi kwenye Sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini humo tarehe 6 Julai, 2023.

Shamrashamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi kwenye Sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini humo tarehe 6 Julai, 2023.

Vikundi mbalimbali vya ngoma za asili kutoka Malawi vikitumbuiza kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi kwenye Sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini humo tarehe 6 Julai, 2023.

About Author

Bongo News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *