Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea Jukwaa Kuu mara baada ya kukagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajab Mabele wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu Tuzo ya Heshima mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Bashungwa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua kitabu cha Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hiloyaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023.
Vikundi vya Maafisa na Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) vikipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassanwakati wa Kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati wa Wimbo wa Taifa ukiimbwa katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) tarehe 10 Julai, 2023.