KITAIFA

RAIS SAMIA AKUTANA NA KATIBU MKUU UMOJA WA POSTA DKT SIFUNDO

RAIS SAMIA AKUTANA NA KATIBU MKUU UMOJA WA POSTA DKT SIFUNDO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Chief Moyo (kulia) na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 28 Agosti, 2023.

About Author

Bongo News

44 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *