KITAIFA

RAIS SAMIA APOKEA TAARIFA YA TUME YA KUANGALIA JINSI YA KUIMARISHA TAASISI ZA HAKI JINAI TANZANIA

RAIS SAMIA APOKEA TAARIFA YA TUME YA KUANGALIA JINSI YA KUIMARISHA TAASISI ZA HAKI JINAI TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Viongozi mbalimbali baada ya kupokea Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023

Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa
Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman akizungumza wakati akiwasilisha Taarifa ya Tume hiyo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Mhe. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu
Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Eng. Zena Said wakiwa kwenye hafla ya kupokea Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023

Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uwasilishwaji wa Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania wakiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Mhe. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Eng. Zena Said, Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za
Haki Jinai hapa Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman wakati wa picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume hiyo pamoja na Sekretarieti
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023

About Author

Bongo News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *