Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
- Amemteua Mhe. Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali
ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha
Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST). - Amemteua Mhe. Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu kuwa
Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Ushirika Moshi (MoCU).
Uteuzi huu unaanza mara moja.
1 Comment
Simply a smiling visitant here to share the love (:, btw outstanding design and style.