KITAIFA

RAIS SAMIA AZINDUA NDEGE MPYA YA MIZIGO AINA YA BOENG 767-300F

RAIS SAMIA  AZINDUA NDEGE MPYA YA MIZIGO AINA YA BOENG 767-300F

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa kwenye Chumba cha Marubani ya Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL mara baada ya kuizindua katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Juni, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar Mhe. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Juni, 2023.

Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL ikiwasili na kumwagiwa maji watersalute mara baada ya kutua katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Juni, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Mama Mbonimpaye Mpango pamoja na Mama Mariam Mwinyi mara baada ya kuzindua Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es
Salaam tarehe 03 Juni, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na  Mmoja wa Marabuni walioileta Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL Kapteni Neema Swai mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Juni, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Marubani walioileta Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL Captain Neema Swai mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Juni, 2023

About Author

Bongo News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *