KITAIFA

RAIS SAMIA KUONGOZA MAZISHI YA LOWASSA FEBRUARI 17, 2024 MONDULI ARUSHA

RAIS SAMIA KUONGOZA MAZISHI YA LOWASSA FEBRUARI 17, 2024 MONDULI ARUSHA

*Waziri Mkuu atoa ratiba ya matukio.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Monduli Mkoani Arusha Jumamosi Februari17, 2024.

Awali Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza siku tano za maombolezo ya kitaifa ambapo bendera zitapeperushwa nusu mlingoti kuanzia tarehe 10 Februari, 2024.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumapilii, Februari 11, 2024) wakati akitoa taarifa ya ratiba ya mazishi ya kiongozi huyo, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Oysterbay, Dar es Salaam.

Amesema katika kipindi cha siku tano za maombolezo, Taifa litaendelea na shughuli za umma na kijamii sambamba na kushirikiana na wanafamilia katika ratiba ya msiba kama ilivyoandaliwa na kamati ya mazishi ya Kitaifa na wanafamilia.

Amesema kabla ya mazishi hayo mwili wa Hayati Lowassa unatarajiwa kuagwa katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam na Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Amesema Jumanne Februari 13, 2024 mwili wa Hayati Lowasa unatarajiwa kuangwa na viongozi na wananchi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu amesema Jumatano Februari 14 mwili wa Hayari Lowasa utapelekwa katika Kanisa la KKKT Azania Front kwa ajili ya ibada takatifu na kuagaa

Amesema Alhamisi Februari 15 mwili wa Hayati Lowassa utasafirishwa hadi jijini Arusha ambapo viongozi na wananchi watapa fursa ya kuaga katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid.

Waziri Mkuu huyo mstaafu alifariki jana (Jumamosi, Februari 10, 2024) wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam na tangazo la kifo chake lilitolewa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango.

About Author

Bongo News

5 Comments

    EP Winer, C Hudis, HJ Burstein, etal American Society of Clinical Oncology technology assessment on the use of aromatase inhibitors as adjuvant therapy for women with hormone receptor positive breast cancer Status report 2002 J Clin Oncol 20 3317 3327, 2002 Link, Google Scholar 8 priligy 60 mg

    9 microM for E 4 hydroxytamoxifen sulfamate and an apparent Ki of 500 microM for the Z isomer where can i buy priligy

    After several years of campaigning on behalf of a suffering elephant named Nosey, PETA rejoiced when Alabama authorities seized her from her neglectful handler, Hugo Liebel cialis with priligy Side effects were bad for me, but it did its job on lowering BP

    cytotec pills over the counter The overall and complete hematological response rates at Year 1 n 78 are 56

    can i order cytotec price fosphenytoin will decrease the level or effect of brigatinib by affecting hepatic intestinal enzyme CYP3A4 metabolism

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *