KITAIFA

RC CHALAMILA AKUTANA NA WAMILIKI WA VIWANDA VYA SARUJI NA NONDO

RC CHALAMILA AKUTANA NA WAMILIKI WA VIWANDA VYA SARUJI NA NONDO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 22, 2024 amekutana na wafanyabishara wanaomiliki viwanda vya saruji na Nondo ambavyo ni MMI, LAKE, CAMEL, TWIGA na KIBOKO katika Mkoa huo Ofisini kwake Ilala Boma.

Akiongea na wamiliki hao wa Viwanda vya Saruji na nondo amesema amewaita kwa lengo la kufahamiana vilevile na wao kupata fursa ya kuwafahamu viongozi wao ngazi ya Mkoa ili pale kunapokuwa na changamo wajue nani wakuweza kutatua kwa masilahi mapana ya mkoa na Taifa kwa ujumla.

Aidha RC Chalamila amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anathamini uwekezaji hapa nchini ndio maana siku zote amekuwa akiboresha mazingira ya wawekezaji ambapo ameweza kuunda wizara maalum ya uwekezaji na Mipango hiyo yote ni katika jitihada za kuimarisha uwekezaji na kuvitia wawekezaji.

“Na sisi tulioko chini yake katika maeneo yetu jukumu letu kubwa ni kuhakikisha tunaweka mazingira mazuri na rafiki kwa wawekezaji ili kwenda sambamba na maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu.

Sambamba na hilo RC Chalamila amesema atanya ziara katika viwanda hivyo ili kuweza kujua Changamoto zinazowakabili pamoja na kuwatia moyo katika uwekezaji wao lakini pia amewaomba kuwa marafiki wazuri wa Serikali, walipe kodi bila shuruti na kuwa mabalozi wazuri bila kusahau kuchangia maendeleo ya Mkoa ikiwemo ujenzi wa hosteli za kike ili kuondoa adha inayowakabili wanafunzi katika Mkoa huo.

Kwa upande wa Katibu Tawala wa Mkoa Dkt Toba Nguvila amewataka wafanyabishara hao kuchangia maendeleo ya Mkoa huo hususani ujenzi wa hosteli kwa kuwa wanafunzi wa mkoa huo wamekuwa wakipata shida za usafiri, mimba ambavyo vinapelekea kushusha viwango vya ufaulu wa katika masomo yao.

About Author

Bongo News

7 Comments

    レジンコミックス韓国サービスのプライバシーポオナドールリシーによるお客 ?情報主体)が収集・利用に同意した個人情報項目(詳しく見る)

    complemented by high-quality images and videos,enhances the overall reader experience.ラブドール エロ

    to say ‘he wanted it,’ ‘he must have chosen that.ラブドール エロ

    Мобильные ставки на спорт становятся проще, когда вы скачаете приложение БК и делаете ставки на Android

    com 20 E2 AD 90 20Obat 20Kuat 20Viagra 20Shop 20Kota 20Tangerang 20Banten 20 20Buy 20Viagra 20Vietnam buy viagra vietnam Donald Williams, chief investor officer at Platypus AssetManagement, said that some investors welcomed the correction asthey have been struggling to find value in the Australian marketfor several months buy priligy 60

    It is also important to emphasize and promote healthy bowel habits such as attempting movement on awakening and 30 minutes after eating to take advantage of the gastrocolic reflex can you buy priligy over the counter

    Said it s a normal occurrence on tamoxifen order cheap cytotec prices Aside from protein content, edamame is a valuable source of a variety of other nutrients, as outlined by the United States Department of Agriculture USDA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *