Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Novemba 18, 2023 wakati wa Kongamano lililoandaliwa na Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC) katika Ukumbi wa Hotel ya Hyatt Jijini Dar es Salaam.
RC Chalamila akiwa katika Kongamano hilo alipata wasaa wa kujionea bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na Wanawake wajasiriamali wa kitanzania hususani Mkoa wa Dar es Salaam ambapo amesema kwa takribani miaka mingi Wanawake walikosa nafasi za kuonyesha ubunifu na uwezo wao kutokana na mfumo dume “Iko mijadala ya kitaalam ambayo inaonyesha dhahiri mwanamke ni Smart sana mfano mzuri chunguza kwa makini uongozi wa Dkt Samia Suluhu Hassan, mwanamke akijitambua ni mkombozi kwa familia, jamii na Taifa kwa Ujumla” Alisema RC Chalamila
Aidha RC Chalamila amebainisha namna Rais Dkt Samia Suluhu anavyo weka mazingira rafiki ya kibiashara hususani kwa wajasiriamali kuwaunganisha na masoko ikiwemo uboreshaji wa miundombinu, Ununuzi wa Ndege ya Mizigo na hata uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam kwa kufungua fursa za uwekezaji.
Vilevile amewataka Wanawake wote kutumia kongamano hilo kujadili na kujenga uelewa wa ujasiriamali na masoko na kuendelea kuhamasisha Wanawake wengi zaidi kutumia fursa za kijasiriamali kwa maendeleo endelevu.
Kwa upande wa Mkurugenzi Mtendaji wa TWCC Bi Mwajuma Hamza amesema kongamano hilo linawakutanisha Wanawake wajasiriamali kujadili na kujenga uelewa wa ujasiriamali na masoko ili kuleta ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku kwa masilahi mapana ya jamii na Taifa kwa Ujumla.
Vilevile TWCC imemuomba Mhe Mkuu wa Mkoa kupeleka Salamu kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwa amekuwa mstari wa mbele kuwwzesha Wanawake kwa kuwapatia mitaji,kuwashirikisha katika sera na uboreshaji wa miundombinu unayosadifu ujasiriamali
33 Comments
granted as an unearned entitlement,ラブドール エロor paired with abuse is manipulative and disempowering,
Most women who make this decision are satisfied, she adds priligy in usa
вывод из запоя круглосуточно ростов (вывод из запоя круглосуточно в ростове) вывод из запоя круглосуточно ростов (вывод из запоя круглосуточно в ростове) .
капельницы от запоя капельницы от запоя .
симптомы ломки http://snyatie-lomki-narkolog11.ru .
неотложная наркологическая помощь в москве http://skoraya-narkologicheskaya-pomoshch11.ru .
вывод из запоя выезд бригады специалистов http://vyvod-iz-zapoya-v-sankt-peterburge11.ru .
insta insta .
наркологическая скорая бесплатная наркологическая скорая бесплатная .
наркологическая скорая помощь москва наркологическая скорая помощь москва .
неотложная наркологическая помощь в москве skoraya-narkologicheskaya-pomoshch16.ru .
как быстро заработать деньги в интернете как быстро заработать деньги в интернете .
зиговочная машина зиговочная машина .
7к казино зеркала 7к казино зеркала .
техобслуживание охрана росгвардия техобслуживание охрана росгвардия .
лучшие капперы мира лучшие капперы мира .
лучшие капперы мира лучшие капперы мира .
best instagram viewer best instagram viewer .
таиф аллегро http://www.e-taif.ru .
вызвать проституток https://mgtimez.ru .
вызвать проституток http://www.prime-girls.ru .
эскорт в москве эскорт в москве .
турникет полноростовой уличный https://for-gate.ru .
viewer and downloader viewer and downloader .
скуд купить комплект в москве http://www.northern-computers.ru/ .
кодировка от алкоголя цена http://www.xn—-7sbbfcijbwcrwtjcjarh1adw8u.xn--p1ai .
турникет для проходной sigmavision.ru .
клиника довженко лечение алкоголизма клиника довженко лечение алкоголизма .
instagram anonymous story viewer instagram anonymous story viewer .
Кодирование Кодирование .
Proto oncogene tyrosine protein kinase Src c Src is a non receptor tyrosine kinase protein that may be involved in cancer progression by promoting other signals 58 priligy buy online usa Epub 2014 Jan 25
priligy buy Digital tests will cost you more and are usually between 30 to 60
https://jph-google.ms-de.ru