KITAIFA

SERIKALI IMEJENGA SHULE 26 ZA WASICHANA ZA BWENI ZINAZOFUNDISHA SAYANSI

SERIKALI IMEJENGA SHULE 26 ZA WASICHANA ZA BWENI ZINAZOFUNDISHA SAYANSI

Katika kuimarisha miundombinu ya kufundishia na kujifunzia katika shule za msingi na sekondari, Serikali kupitia
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanikiwa kuwezesha ujenzi wa shule mpya za sekondari ngazi ya kata 228 na
26 za Sayansi za wasichana za bweni za mikoa.

Hayo yamebainishwa leo Jumanne Mei 07, 2024 na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda alipokuwa akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya wizara hiyo kwa mwaka 2024/25 ambapo amesema kuwa Serikali pia mewezesha ujenzi wa shule mpya za msingi 302 nchi nzima.

“Serikali imewezesha ujenzi wa madarasa 4,140, maabara 18, mabweni 119, matundu ya vyoo 21,237 na nyumba za walimu 285 zenye uwezo wa kuchukua watumishi 456 katika shule za msingi na sekondari, pi imewezesha ukamilishaji wa ujenzi wa maboma ya vyumba vya madarasa 869, maabara za sayansi 132 na matundu ya vyoo 1,650 katika shule mbalimbali nchini” amesema.

“Serikali imewezesha ujenzi wa madarasa 4,140, maabara 18, mabweni 119, matundu ya vyoo 21,237 na nyumba za walimu 285 zenye uwezo wa kuchukua watumishi 456 katika shule za msingi na sekondari, pi imewezesha ukamilishaji wa ujenzi wa maboma ya vyumba vya madarasa 869, maabara za sayansi 132 na matundu ya vyoo 1,650 katika shule mbalimbali nchini” amesema.

About Author

Bongo News

10 Comments

    priligy medication CUPS is a chronic condition that requires lifelong patient monitoring

    Good day! This post could not be written any better! Reading through this post reminds me of my previous room mate! He always kept chatting about this. I will forward this article to him. Pretty sure he will have a good read. Thank you for sharing!
    https://roofers-msk.ru/

    What’s up, the whole thing is going well here and ofcourse every one is sharing facts, that’s truly fine, keep up writing.
    most bet india

    ORBIS Production is the foremost video production company in Italy, delivering exceptional film production services in Italy. As a trusted Italian production company, we provide comprehensive video production services in Italy tailored to your needs. Elevate your projects with our expert team!
    Italian production service company

    “Elevate your projects with ORBIS Production, a leading video production company in Rome. Our Rome production services and expert team ensure top-quality film production in Rome. Trust the premier Rome production company for all your media needs. Contact us today! ”
    Video production services in Rome

    Ремонт Домов под ключ в Алматы – ТОО “Ваш-Ремонт” помжет Вам от идеи до реализации. Надежно, качественно и в срок. Мы предлагаем полный спектр услуг: от дизайна интерьера до отделочных работ любой сложности. Доверьте свой ремонт опытным специалистам и получите идеальный результат.

    Hi there, You’ve done an excellent job. I’ll certainly digg it and personally recommend to my friends. I am confident they’ll be benefited from this web site.

    эскорт

    Superb post however I was wanting to know if you could write a litte more on this topic? I’d be very thankful if you could elaborate a little bit further. Cheers!

    системы накрутки поведенческих факторов

    Hey there I am so thrilled I found your site, I really found you by mistake, while I was browsing on Aol for something else, Nonetheless I am here now and would just like to say thank you for a incredible post and a all round exciting blog (I also love the theme/design), I don’t have time to read it all at the minute but I have saved it and also added in your RSS feeds, so when I have time I will be back to read a lot more, Please do keep up the awesome job.

    https://www.bnbaccess.eu/news/code_promo_1xbet.html

    I’m gone to tell my little brother, that he should also visit this blog on regular basis to obtain updated from hottest reports.

    Brand Technology Equipment Company LLC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *