KITAIFA

SERIKALI KUJENGA KIWANJA KIPYA CHA MICHEZO JIJINI ARUSHA

SERIKALI KUJENGA KIWANJA KIPYA CHA MICHEZO JIJINI ARUSHA

Viongozi akiwemo Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw.
Saidi Yakubu (wa tatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. John
Mongela (wa pili kulia) wakioneshwa ramani ya eneo utakapojengwa uwanja wa
michezo Arusha.

Mkoa wa Arusha umepewa dhamana kubwa ya kitaifa ya kujengwa kiwanja kipya cha michezo na kufanya Tanzania kuwa na viwanja vitatu vinavyokidhi vigezo na mahitaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ili kuandaa mashindano ya AFCON 2027 katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Akikagua eneo kitakapojengwa kiwanja hicho kata ya Olmoti jijini Arusha la Juni 13, 2023, Mkuu wa mkoa huo Bw. John Mongela amesema mkoa umepokea mradi huo kwa mikono miwili na watatekeleza azma ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo makubwa barani Afrika.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. John Mongela (wa pili kushoto) na viongozi
wakikagua eneo utakapojengwa uwanja wa michezo Arusha.

“Tunamshukuru Rais kwa moyo wake wa uzalendo wa kuwaletea watanzania maendeleo makubwa, Uwanja huu utabadilisha sana sura ya Mkoa wa Arusha na kuiweka kwenye ramani ya dunia, tutatekeleza maelekezo ya Wizara yetu ya michezo, maelekezo ya TFF, mwongozo wa Mhe. Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu na mamlaka zote. Sisi kama mkoa tutafanya linalowezekana jambo hili lifanikiwe” amesema Bw. Mongela.

Ili kufikia azma ya Tanzania kuwa wenyeji wa AFCON 2027 kwa kushirikiana na nchi za Kenya na Uganda, tayari Kiwanja cha Benjamin Mkapa cha Dar es salaam kimeanza kufanyiwa ukarabati mkubwa pamoja na Kiwanja cha Amani Zanzibar hatua itakayofanya Tanzania kuwa na viwanja vitatu vinavyokidhi ubora kulingana na Sharia na Kanuni za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) pamoja na mashindano mengine duniani.

Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukagua eneo
utakapojengwa uwanja wa michezo Arusha.

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema lengo la ziara hiyo ni kukagua eneo kitakapojengwa kiwanja cha kisasa cha michezo katika jiji la Arusha ambayo ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027.

“Huu ni ukaguzi wa awali wa eneo utakapojengwa uwanja wa michezo hapa Arusha,  Sisi Wizara tunawaahidi wakazi wa mkoa wa Arusha pamoja na Watanzania kwa ujumla kuwa tutajenga kiwanja cha kisasa chenye uwezo wa kuchukua watu 30,000,000 ambacho kina uwezo wa kuchezwa mechi za CAF na mechi ambazo zinatambuliwa na FIFA” amesema Bw. Yakubu.

Aidha, ziara hiyo imeshirikisha Uongozi wa mkoa wa Arusha, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Bw. Wales Karia pamoja na viongozi wa taasisi zote ambazo zitakuwa na miundombinu muhimu ya kuhudumia kiwanja hicho.

About Author

Bongo News

20 Comments

    However,ラブドール セックスthese benefits mostly arise if the non-work passion is harmonious,

    .Many women report that sexual stimulation alleviates their period cramps and headaches,えろ 人形 elevates their moods, and makes their PMS and menstrual symptoms more manageable overall.

    ラブドールのオーダメイドやカスタムについての記事も、ラブドール エロあわせてせてご覧ください。

    Therapies consisted of 50 IU kg of 4 factor prothrombin complex concentrate to reverse apixaban, transfusion of 6 units of packed red blood cells, and 3 units of plasma reddit priligy

    yet you might appreciate Atlantic City’s wild weekend spirit and vivid people-watching around the holidays.Festivities include the annual tree lighting at The Quarter at Tropicana shopping center and the Atlantic City Holiday Bazaar at the Noyes Arts Garage of Stockton University.t バック

    sexy velma cosplayall of our suspenders have coordinating lingerie sets to create a full 3-piece outfit.Lingerie and garter belt set in sheer blue tulle with white laceHow do I choose the right size?First,

    But do men really need to discover pleasure? Many women would argue that they don’t (rememberラブドール 女性 用‘They don’t need them, we do.’) The Orgasm Gap could also back this up.

    Like other strains, timing of diet intervention is critical how to get generic cytotec prices

    ラブドールとやる時には準備が必要です。えろ 人形ラブドールとやる際、おマン ?オナホー ?を付ける作業があります。

    In contemporary society, the function of sex dolls transcends their ラブドール オナニーtraditional use for sexual gratification as they begin to play significant roles in therapeutic and educational settings.

    or anywhere that is enclosed or poorly ventilatedtake any exercise outdoors in places where you will not have close contact with other peoplecover your mouth and nose when you cough or sneeze; wash your hands frequently with soap and water for 20 seconds or use hand sanitiser after coughing,sneezing and blowing your nose and before you eat or handle food; avoid touching your faceReduce the spread of infection in your householdWhile you are infectious there is a high risk of passing your infection to others in your household.エロ い 下着

    ラブドール 女性 用In short,wounded healers have many offerings.

    If you feel that your friend is often trying to one-up you,ロボット セックスgives you backhanded compliments,

    ダッチワイフA second example During a recent outbreak of the antidepressant tianeptine“gas station heroin” in Alabama and Mississippi,even young teens were buying this drug legally at 7-Elevens and other convenience stores.

    Love and intimacy are developed through reciprocity,shared vulnerability,セックス ロボット

    チェックアウトプロセスは非常にシンプルで効率的であり、多様な支払いオプションが用意されています.セックス ドールリアルなコンパニオンからユニークなアートピースまで、多岐にわたる選択肢が揃っています.

    and Mayan and Aztec glyphs.ラブドール おすすめCertain strokes appear to be numerical.

    The company also provides freebies and updates ラブドール 中古?like an additional wig or customizable joint stiffness

    your partner and the intimacy you share.A better sex life necessarily requires improving your mind,ラブドール えろ

    That is,リアル ラブドールthey can see with hindsight that their behavior was out of line with their value system.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *