Serikali itatoa viwanja 21 kwa wahanga wa maporomoko ya tope katika mlima kawetere, Itezi Jijini Mbeya, huku zaidi ya vifaa na vyakula vyenye thamani ya Shilingi Milioni 40 vikitolewa kwa wahanga kuanzia tarehe 14 Aprili maafa hayo yalipotokea hadi sasa.
Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa kwa ajili ya wahanga, Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini ambaye pia ni Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson ametoa pole kwa wahanga hao na kumshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia.Suluhu Hassan kwa misaada ya chakula, magodoro, fedha taslimu na viwanja kwa wahanga.
Aidha Mhe. Dkt. Tulia amewaomba wadau wengine watakaoguswa na jambo hili kuchangia vifaa vya ujenzi ili kufanikisha kupatikana kwa sehemu ya kujihifadhi wahanga hao, baada ya nyumba zao kufukiwa na tope.
Kwa upande wake Mhe. William Lukuvi akiwakilisha ujumbe kutoka Ofisi ya Rais amesema kuwa Mhe. Rais ameguswa na kila eneo lililokumbwa na maafa hapa nchini na bado ataendelea kutoa msaada kwa wahanga.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera amekiri kupokea maelekezo kutoka kwa Mhe. Rais na kuahidi kutoa viwanja sehemu nzuri kwa wahanga na utekelezaji utaanza mara moja.
Mhe. Dkt. Tulia amefika Itezi leo tarehe 21 Aprili, 2024 na kuzungumza na wahanga pamoja na kutembelea eneo ulipotokea mmomonyoko wa tope katika mlima Kawetere.
8 Comments
https://kupit-kvartiruspb.ru в новостройках Санкт-Петербурга. Цены и фотографии квартир от застройщика в готовых и строящихся ЖК. Подбор жилья, ипотечные программы, сопровождение сделок и выгодные предложения.
квартиры от застройщика жк https://kvartiru-kupit78.ru
This is certainly RealDoll’s AI lineup, エロ 人形which functions responsive movement inside the eyes, eyebrows, mouth, and neck.
PubMed 12112540 priligy amazon uk Take SEGLUROMET exactly as your doctor tells you to take it
33A 33B Lenalidomide inhibits tumor growth in mouse xenograft model with OCI Ly10 ABC DLBCL priligy generic To talk with others who are at high risk, join the Breastcancer
In particular, women aged 60 to 69 years are the most likely to avoid a breast cancer death priligy cvs
dapoxetine priligy uk For the 495 patients receiving TAM in whom sequencing was documented, the CON TAM group was similar to the SEQ TAM group except for age, follow up, and the use of chemotherapy Table 1
Unenhanced MRI of the breast could be performed during pregnancy; however, it is not useful for the evaluation of breast cancer cytotec online india