KITAIFA

SERIKALI YAHIMIZA MATUMIZI YA MATOKEO YA SENSA 2022 KWA MAENDELEO

SERIKALI YAHIMIZA MATUMIZI YA MATOKEO YA SENSA 2022 KWA MAENDELEO

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Jenifa Omolo, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Watakwimu wa Tanzania Bara na Zanzibar yaliyoandaliwa na Chama Cha Watakwimu Tanzania (TASTA), yanayofanyika jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi Jenifa Omolo, amewaasa Watakwimu nchini kuchambua, kutafsiri na kutumia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 katika kupanga, kufuatilia na kutathmini utekekelezaji mipango na programu mbalimbali za maendeleo ili kufikia uchumi wa viwanda.

Alisema hayo kwa niaba ya Waziri wa Fedha wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Watakwimu wa Tanzania Bara na Zanzibar yaliyoandaliwa na Chama Cha Watakwimu Tanzania (TASTA), yanayofanyika jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Jenifa Omolo (katikati), Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa (wa pili kulia) na Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Salum Kassim Ali (wa pili kushoto), wakiwa katika picha ya Pamoja na watakwimu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, baada ya kufunguliwa kwa mafunzo ya siku mbili kwa Watakwimu hao yaliyoandaliwa na Chama Cha Watakwimu Tanzania (TASTA), yanayofanyika jijini Dodoma.

Alisema kuwa ni muhimu kwa Watakwimu kutumia fursa ya mafunzo hayo ili kuhakikisha kuwa wanatumia matokeo ya Sensa kama katika kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa programu za maendeleo za kikanda na Kimataifa ambayo Tanzania imeridhia.

“Serikali inasisitiza matumizi ya matokeo ya Sensa kwa kutambua kuwa nchi yetu inaweza kupata thamani ya uwekezaji mkubwa katika utekelezaji wa Sensa ikiwa tu matokeo ya Sensa yatatumika kwa lengo lililokusudiwa katika kupanga, kutekeleza na kutathmini sera, mipango na programu zetu za maendeleo ambazo zitazingatia hali halisi ya idadi ya watu wetu, “alisema Bi. Omolo.

Aidha, alitoa wito kwa wadau wote wakiwemo wananchi kuwa sehemu ya mchakato wa matumizi ya matokeo hayo katika kupanga mipango mbalimbali ya maendeleo kwakuwa wakifanya hivyo wataweza kupata thamani ya fedha zilizotolewa na Serikali katika kufanikisha zoezi hilo.

Watakwimu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, wakifuatilia mafunzo yaliyolenga kuwawezesha kutafsiri matokeo ya Sensa kwa maendeleo ya wananchi, mafunzo hayo yanayofanyika jijini Dodoma, yameandaliwa na Chama Cha Watakwimu Tanzania (TASTA).

Bi. Omolo alisisitiza mafunzo hayo yatafanyika vyema kama yalivyopangwa kwa kutimiza malengo yake ya kuwapa uelewa na hatimaye kusambaza matokeo hayo kwa wadau mbalimbali.

Kwa Upande wake Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa, alisema kuwa Watakwimu wanatakiwa kwenda katika mlengo mmoja ili kuhakikisha takwimu zinaleta maendeleo kwa jamii.

“Takwimu hizi zinatakiwa kuleta maendeleo katika jamii, ni muhimu sasa kwa Watakwimu wote kuhakikisha takwimu hizi zinakuwa chachu na zinaleta maendeleo kwa nchi yetu na jamii nzima,”alisema Dk.  Chuwa.

Naye Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Salum Kassim Ali, alisema Watakwimu ndio wanaopanga mipango ya maendeleo ya nchi hivyo ni wajibu wao kila mmoja kuhakikisha matokeo ya Sensa yanatumika ipasavyo.

Alisema kuwa anaamini watakwimu hao watakuwa mfano mzuri katika kuwafundisha wengine umuhimu wa matumizi ya matokeo ya takwimu zilizopo.

About Author

Bongo News

44 Comments

    1st, In spite of ongoing requires empirically driven do theオナドール job, the bulk of study on sexual intercourse dolls,

    indicating that these vocalizations are at least partly under control,thus providing women with an opportunity to manipulate male behavior to their advantage.人形 えろ

    Unfortunately, the use of sex dolls also raises severalセックス ボット questions about their impact on human relationships and their potential role in the future of intimacy.

    Despite the positive impacts of sex dolls on human relationships,セックス ボット there are some negative critics.

    They bring a sense of steady presence and reliability,irontech doll unlike the often changeable and uncertain aspects of relationships with people.

    I like you even when I am insanely hangry.オナニー 用Hangry is a dangerous state to be in! But if you love your partner even when you are mad hangry,

    simple acts of kindness and affirmation—such as saying “thank you,リアル ラブドール” “you make me happy,

    Nonetheless, it lacks left-to-right movement 人形 えろin the wire fingers. Ideal for customers desiring substantial hand movements without requiring left-to-right mobility.

    making the recommendations easy to implement.ダッチワイフYour focus on practical solutions and clear instructions is a real asset.

    for conflict,ラブドール 男in areas including appearance,

    えろ 人形For the first 12 years of our life,and even more so for the first six,

    gave them a sense of purpose,and provided clarity during an otherwise murky time.えろ 人形

    ラブドール おすすめmaking their partners doubt their perceptions and reality.If you are told that you are crazy and shouldn’t trust your perceptions,

    連続で広告判定がされたためキャプションは非表示です。(ダッチワイフ表示する)設定変更で常に表示できます。

    doing nothing,with one thought seemingly randomly following another?A recent study gives us some clues about the benefits of daydreaming.lovedoll

    3 Nuclear risks: Nations like North Korea and Iran add to the persisting dread of nuclear conflict.ラブドール 女性 用4 Mental health crisis: Rising mental health issues,

    Just because there are oceans and borders between you and you both live on different lands,it does not mean that your love has faded away.ラブドール 値段

    that is,attacks on people’s personal traits.リアル ラブドール

    which greatly improves the beauty and playability of the full size sex doll.Welcome to Annie’s TPE Sex Doll collection! TPE sex dolls are one of the most popular types of sex dolls on the market today.ラブドール メーカー

    Which she’ll develop into additional advanced えろ 人形the greater you employ the app. Customers

    com is where impeccable craftsmanship meets stunning realism,ラブドール えろand my experience with them has been exceptional.

    there has been a coevolutionary arms race with sex organs,中国 エロlike these “weaponized penises.

    ラブドール えろhow to sound professional in business situations or how to change basic words into more fancy ones – check out the other articles on our English blog.You’d think planning and going on a vacation would be a dream.

    can vary greatly,and is influenced by cultural norms and mores,オナホ おすすめ

    オナホ ラブドールIn spite of the loneliness that is experienced as a result of this,there is a level of social stigma about their sexual attractions that stop them from disclosing this information.

    I can do anything.ラブドール えろI didn’t tell any of my friends about Doug for nearly four years.

    which I completed at one of the best universities in the UK,ラブドール 無 修正with a full blown imposter syndrome.

    Bisexual Men Exist. ‘I’ve heard women saying,女性 用 ラブドール “I don’t want to have sex with a man who’s had sex with men. It’s disgusting.”

    opportunities for self-development and freedom of movement than boys do.リアル ドールIt has been argued that they may rebel against this lack of access or seek out affection through physical relationships with boys.

    Breaking those statistics down further, a 2018 Stonewall report found that three in 10 bi men, 女性 用 ラブドールin comparison with less than one in 10 bi women, say they can’t be open about their sexuality with their friends.

    エロ 下着” Sanz tells T+L.Start your journey by indulging in a bit of luxurious relaxation — “You can enjoy hot springs and hang out with friends at The Springs Resort & Spa while sipping on a drink as you overlook the Arenal Volcano,

    including organ cells that get to work on secreting hormones such as melatonin and other chemical messengers responsible for maintaining bodily functions such as appetite,ラブドールbody temperature,

    take a pause.セックス 人形Let the person be themselves without making it your mission to improve them.

    エロ 下着you and your partner can dine on ceviche and sip pisco sours — when you’re not dancing at discos and touring Baroque catacombs,that is.

    セックス ドールAs much as you can,use your age and experience to be wise and candid with yourself.

    セクシーコスプレ” as it’s sometimes known — sits on sun-kissed Flamands Beach and features beach suites with hot tubs and sea views,garden suites with swimming pools and alfresco dining areas,

    ラブドール オナホand at least once same ” This percentage was far greater than the 6 for older women (ages 35-74).These findings are commonly reported in other national studies across countries: that is,

    streams,and lakes,女性 用 ラブドール

    He older then me Handsome Muscular Taller And Always So Serious Strict and sometimes doesn’t smile but he has a soft spot for someone and that someone is me his beautiful セックス ロボットSunshine

    providing a realistic feel and ensuring durability.providing guidance and support throughout the process.ラブドール 中古

    So you’re a virgin,” he says with an eyebrow up. First time to Jamaica? Yes. ラブドール オナニー“A double virgin!” Oh god. So this is where I am.

    When I got to my room, I sat down to study. That’s how he found me. He started by making small talk and then rubbed my shoulders from behind me.

    The Evolutionary Roots of Emotional SafetyWhy is emotional safety so important? Because it’s based on a need that’s even more elemental.physical safety.えろ 人形

    Along with massive-scale skeleton updates, you are able えろ 人形to from time to time pick the way by which a doll’s fingers and fingers can articulate.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *