KITAIFA

SERIKALI YAONGEZA KASI KUIMARISHA HUDUMA YA MAJI DODOMA

SERIKALI YAONGEZA KASI KUIMARISHA HUDUMA YA MAJI DODOMA

Mafundi kutoka kampuni ya Mkandarasi Help Desk, wakifunga tenki la chuma la kukusanyia maji lenye ukubwa wa lita laki tano katika eneo la Nzuguni jijini Dodoma leo Agosti 17, 2023. Kupitia mradi wa maji wa Nzuguni zaidi ya lita za maji milioni 7.6 zitazalishwa kwa siku, hivyo kuongeza asilimia 11 za upatikanaji maji katika Jiji la Dodoma na kuwanufaisha zaidi ya wakazi 75,968. Mradi huu utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 4.8 hadi kukamilika kwake.

Mafundi kutoka kampuni ya Mkandarasi Help Desk, wakifanya vipimo wakati wakifunga tenki la chuma la kukusanyia maji lenye ukubwa wa lita laki tano katika eneo la Nzuguni jijini Dodoma leo Agosti 17, 2023. Kupitia mradi wa maji wa Nzuguni zaidi ya lita za maji milioni 7.6 zitazalishwa kwa siku, hivyo kuongeza asilimia 11 za upatikanaji maji katika Jiji la Dodoma na kuwanufaisha zaidi ya wakazi 75,968.

About Author

Bongo News

1 Comment

    Undeniably consider that that you stated. Your favourite justification appeared to be on the web the easiest factor to have in mind of. I say to you, I definitely get irked even as people consider issues that they just don’t recognise about. You managed to hit the nail upon the highest and outlined out the whole thing with no need side-effects , other folks could take a signal. Will likely be back to get more. Thanks

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *