KITAIFA

SERIKALI YASAINI MKATABA WA KUKARABATI WA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

SERIKALI YASAINI MKATABA WA KUKARABATI WA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

Katibu Mkuu wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Said Yakubu na
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) ya
China Bw. Peter Cheng wakionesha mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Uwanja
wa Benjamin Mkapa waliosaini Julai 27, 2023 jijini Dar es salaam.

Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesaini mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) ya China ambao utagharimu zaidi ya Sh. bilioni 31 hadi kukamilika Julai 2024.

Hayo yamesemwa Dar es Salaam Julai 27, 2023 na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Pindi Chana baada ya kusaini mkataba na kampuni BCEG ya China ambao pia ndio waliojenga uwanja huo.

Alisema lengo la kukarabati huo ni kufikia viwango vya Chama ch Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) Pamoja na Chama cha Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ili uendelee kuwa bora zaidi.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Chana akipokea bango
lenye picha ya mfano namna viti vya wachezaji wa akiba pamoja na benchi la ufundi
litakavyoonekana nbaada ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya hafla
ya kusaini mkataba wa ukarabati wa uwanja huo Julai 27, 2023 jijini Dar es salaam.

“Wito wangu kwa kampuni ya BCEG, hakikisheni kazi hii mnayoifanya iwe ya viwango vinavyowekwa iendane na ubora na viwango vya CAF na FIFA na ikamilike kwa wakati” amesema Dkt. Chana.

Naye Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Bw. Said Yakubu amesema uwanja huo utafanyiwa marekebisho katika eneo la vyumba vya wachezaji, chumba cha waandishi wa Habari, eneo la watu mashuhuri (VVIP), kubadilisha viti vyote vya kukalia mashabiki uwanjani hapo, ubao wa kuonesha matokeo, kuweka mfumo mpya wa TEHAMA, kubadilisha eneo la kuchezea na seti mbili za magoli ambazo zitatumika uwanjani hapo.

Maeneo mengine ambayo yatafanyiwa ukarabati ni viti vya benchi la ufundi na wachezaji wa akiba, mfumo wa umeme, mfumo wa sauti, eneo la kukimbilia wanariadha, chumba cha VAR, lifti mbili mpya, mfumo wa taa, mfumo wa maji taka, mgahawa pamoja na vitu vingine ambavyo vimepita muda wa matumizi kwani vilitakiwa kutumika kwa muda wa miaka saba tu.

Baadhi wa wakilishi wa Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group
(BCEG) ya China wakifuatilia hafla ya kusaini mkataba

Aidha, Katibu Mkuu Yakubu ametoa wito kwa watumiaji wa uwanja huo wakiwemo mashabiki, kuhakikisha wanatunza miundombinu ya uwanja huo ili iendelee kutumika kadiri ilivyopangwa na kuendelea kuwa eneo la watanzania kupata burudani wakati wa kuangalia mechi mbalimbali na nchi jirani wanautumia kama uwanja wao wa nyumbani.

Katika kufanikisha ukarabati huo, Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) watatoa viti vipya vitakavyotumiwa na benchi la ufundi pamoja na wachezaji wa akiba wakati mechi uwanjani hapo na Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) litagharimia matengenezo ya eneo la kuchezea mpira katika uwanja huo.

About Author

Bongo News

13 Comments

    such as sweet or greasy foods.Foods such as chocolate,ラブドール 無 修正

    高級 ラブドールTrauma is painful.Pain is a part of life and we all carry it with us all the time.

    respect,admiration,ラブドール エロ

    Teaching a child these words gives them the ability to come to you when something is wrong.オナホ おすすめLearn more about talking to children about sexual assault.

    ラブドール おすすめWhile some people may be more adept in analytical thinking,and while others may thrive in creative pursuits,

    ラブドール えろDo not succumb to the pressure.The best holidays are the ones where you enjoy yourself and come back with interesting stories.

    Frye-Nekrasova adds that medication, diet, and energy levels can jydollalso impact sex drive during menstruation.

    修正基準強化宣告は男性向け同人誌にセックス ロボットとって大きなダメージとなっているようです。

    direction in our career,managing our relationships with friends and family,えろ 人形

    offering an unrivaled combination of craftsmanship,ラブドール えろcustomization,

    scenarios, positions and sexual exploits; ラブドール avlaughing and enjoying one another’s company.”

    Customer experience is at the forefront of the decision to オナニー ドールinvest in a high-quality sex doll.

    In the booklet Choose to Hug,the Commissioner suggests “time out” should never be used:as a punishment or threatfor more than a few minutes at a timeif there is nowhere safe for the child to beif the child is not mature enough to understand why he or she is in “time out”The following are important guidelines,エッチ 下着

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *