Kamishna Jenerali Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini (DCEA), Aretas Lyimo
ametoa onyo kali kwa viongozi wa ngazi ya halmashauri watakaobanika kutochukua hatua stahiki kuhusiana na kilimo cha mirungi, na kusema kuwa watachukuliwa hatua za kisheria bila kujali nafasi zao.
Kamishna Jenerali Lyimo amesema hayo jana katika operesheni ya uteketezaji wa mashamba ya mirungi katika Kata ya Tae iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Same katika mkoa wa Kilimanjaro.
Ametoa rai kwa viongozi wa halmashauri kuanzia Afisa Tarafa mpaka Mwenyekiti wa Kitongoji kuwa ni wajibu wao kuhakikisha wanadhibiti uhalifu wa kilimo na matumizi ya mirungi, pamoja na kutoa elimu kuhusu athari ya matumizi yake katika maeneo wanayosimamia kulingana na sheria za nchi.
“Ni wajibu wa kila kiongozi katika halmashauri kuhakikisha anadhibiti matumizi ya mirungi, ikiwa ni pamoja na kukomesha kilimo chake kwa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu shughuli mbadala wanazoweza kuzifanya ikiwemo kilimo cha mazao mengine yenye tija. Pia, kwenda kwenye vyuo mbalimbali vya ufundi kupata ujuzi utakaowasaidia kwa namna moja au nyingine au kufanya biashara halali zitazokuwa chanzo cha mapato kwa ajili ya kujikimu na maisha wakiachana na biashara ya mirungi.”, Kamishna Jenarali Lyimo amesisitiza.
“Operesheni hii ni endelevu na tunatoa muda wa visiki vyote vilivyokatwa ving’olewe na
mashamba yote ya mirungi yateketezwe mara moja, vinginevyo, hatua kali za kisheria
zitachukuliwa kwa viongozi kuanzia tarafani mpaka kwenye vitongoji pamoja na wananchi wote wanaojishughulisha na kilimo haramu cha mirungi.”, Kamishna Jenerali Lyimo ameonya.
Akisisitiza kuwa ni wajibu wa kila mwananchi popote alipo kutojishughilisha na biashara ya mirungi na kutoa taarifa za kudhibiti uhalifu huo kwa mamlaka kwa kutumia namba maalum ambayo aliitoa kwa wananchi hao.
Katika hatua nyingine, Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni ameagiza viongozi wa Kata ya Tae kusimamia zoezi la ung’oaji wa visiki vyote na kutekekeza mashamba yote ambayo hayajafikiwa yateketezwe ndani ya kipindi cha mwezi mmoja. Hukua akiwataka wananchi kutojihusisha tena na kilimo cha mirungi, pamoja na kuwahimiza kujishughulisha na kilimo cha mazao ya chakula.
Akizungumzia athari za matumizi ya mirungi, Kamishna wa Kinga na Tiba DCEA, Dkt. Peter Mfisi ameeleza kuwa matumizi ya mirungi yanachochea uhalifu ikiwemo ugomvi na mauaji kwa sababu ya kuathiri uwezo wa kufikiri, jambo linalosababisha mtu kuchukua maamuzi yoyote pasipo kutafakari matokeo yake na kusema kuwa baadhi ya maeneo ambayo kilimo cha mirungi yamekithiri kuna changamoto kubwa wananchi wake kitabia.
Akitoa shukrani kwa mafunzo hayo, miongoni mwa wakazi wa Kata ya Tae ambayo ni miongoni mwa kata 35 za Wilaya ya Same, Happiness Yeremia ameishukuru Serikali kwa kuwapa elimu kuhusu mirungi na dawa za kulevya kwa ujumla kwa kuwa itawasaidia kuachana nazo, lakini pia akiomba uthibiti wa matumizi makubwa ya pombe.
Vilevile, mkazi mwingine wa Kata ya Tae, Elisante Semkondo amesema kuwa asilimia kubwa ya rika la vijana katika kata hiyo wanatumia mirungi kutokana na tabia ya kuiga. Hata hivyo, akisisitiza elimu waliyoipata imetoa hamasa kuchukua hatua ya kudhibiti changamoto hiyo na kuachana kabisa na kilimo cha zao hilo.
Aidha, Kamishna wa Huduma za Sheria DCEA, Veronica Matikila amesema Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya. Na. 15 ya Mwaka 2015 inakataza matumizi yote ya dawa za kulevya ikiwemo kulima au kutumia kwa kila Mtanzania. Hivyo yoyote anayejishughulisha kwa namna yyote na dawa za kulevya anakwenda ni kosa na atachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.
Operesheni hiyo ya kutekeza mirungi katika mkoa wa Kilimanjaro ni hatua ya Serikali katika kuhakikisha inadhibiti na kutokomeza matumizi ya dawa ya kulevya, ambayo yamekuwa na athari katika ustawi wa jamii na maendeleo ya taifa kwa ujumla.
48 Comments
As our interactions become increasingly screen-based, ラブドール sexthese dolls offer an alternative perspective on companionship and sexuality.
What the opposite looks like: One partner doesn’t seem to care if the other is physically attracted to them or rarely takes pride in their outward appearance.Red-flag warning: You or your partner are more inclined to look pleasing to someone else.初音 ミク ラブドール
How they’re made has changed a lot,ラブドール sex using unique materials like silicone and TPE (a kind of plastic). These materials are strong, soft
えろ 人形It’s about creating homes and communities where our true human experiences,in all their beauty,
法律の専門家ではないので正確性や適法性は保証できませんが、オナドールアダルトサイトの現場から得た知識や考察、現状についてお知らせしたいと思います。
ラブドール エロwith lifelike skin texture and detailed facial features that are incredibly realistic.ensuring durability and a truly lifelike feel.
It’s a chilly Saturday night in mid-October,ラブドール えろand I’m in a darkly lit townhouse in Fitzrovia at a sex party for Killing Kittens,
He pulled out anyway, but the story made me cum almost immediately.オナドール I still masturbate thinking about it.”5.”He fingered me during my period”
ラブドールbut this time teaching us not about man’s physical journey,but rather his spiritual one.
クオリティの高いリアルドールからお手頃な価格のトルソー(大型オナホール)まで、えろ 人形あなたに合う商品を購入できます。
If you have to adjust just about anything ラブドール 女性 用for your purchase or have some issues required to be answered,
As the authors noted,ラブドール 中古“one’s partner’s reports of shared novel and exciting activities do not necessarily uniquely contribute to relationship quality.
However,エロ ラブドールsociety at large may be equally or more to blame when it comes to the detrimental consequences of fat talk and old talk.
every human heart.Could there be any expression—on the surface,えろ 人形
64.ラブドール 値段Even after all these years,
now called Mount Airy Casino.Since then,人形 エロ
Understanding this price range is crucial for making informed decisionsオナニー ドール aligned with individual financial considerations and expectations.
里帰りについ ?頭部単体 ボディ単 ?カスタマイズラブドール エロ ドールグッズ 人気商品 ラブドール通販 新着 ドールについて
The materials used are of the highest quality,ラブドール エロIt’s clear why JP-Dolls is a favorite among many customers.
miserable,オナホ 高級dissatisfied,
Media influenceModern media contains more sexual messages than was true in the past and the effects on teen sexual behavior remain relatively unknown.リアル ドールOnly 9 of the sex scenes on 1,
人形 エロYou’ll also learn the 5 dangerous & “dumb” sex mistakes that turn him off and how to avoid them.Get it here.
you will serve yourself well by being adequately prepared for different possibilities.リアル ドールAny difficult interaction is only made harder to take if your resistance is down.
the highest I would’ve probably risen is a supervisor role in a call centre.The way I see it,ラブドール 無 修正
he and many others allude to the length of female legs as itself contributing to their magnetic appeal and depicting an ideal of feminine pulchritude,ダッチワイフ エロwhich may,
To this day,it goes up on the first Sunday of Advent each year,セクシーコスプレ
ラブドール えろGet tempted by the menu of pastry offerings when you stop for coffee.With this information,
and the Bettini restaurant is a fine reflection of that culture,despite the contemporary American cuisine.ランジェリー エロ
the evolved beings known as leaders breathe a rarified air made of vision,inspiration,ラブドール と は
pull him in as tight and deep as possible.When he has finished,人形 エロ
これはオナホが脱着式のドールの場合の話しで、セックス ロボット一体式の場合はこの準備はいりません。
リアル ラブドールare visionary leaders,and retain the enthusiasm and mental agility to excel in their roles.
Such ambivalence,which refers to experiencing negative and positive emotions at the same time,高級 ラブドール
セックス ドールthey represent the space around them geographically.So instead of saying that something is on their left,
ダッチワイフ エロ There is absolutely nothing that parents can do to affect the progression of time that determines the daughters’ age,nor is there anything they can do after the conception to influence the daughters’ physical appearance (once again,
Even unsweetened fruit juice and smoothies are high in free sugar.浜哄舰 銈ㄣ儹Your combined total of drinks from fruit juice,
ラブドール エロa savvy businessman,a skilled musician,
Make sure your breathing isn’t too shallow but is filling your belly and chest.Stay in your body.オナドール
they release hormones that help you “chemically and emotionally bond with your lover'” ラブドール avand those increased bonds “facilitate you into being more physical with your lover.”
Here are some widely-known religious holidays when we could use the simple phrase “Happy holidays”: Christmas — It is the celebration of the day when Jesus Christ was born.人形 エロChristian churches that use the Gregorian calendar celebrate it on the 25th of December,
Another way to make more sustainable food choices is to support sustainable agriculture practices such as organic farming,agroforestry,リアル ラブドール
ラブドール えろwatching Home Alone on Christmas Eve has turned into a yearly tradition.There’s no Christmas without little Kevin McCallister!Here are a few quotes from famous holiday-themed movies you’ve seen a thousand times.
I didn’t cry, but the only regret was that we weren’t emotionally tied.オナドール It was good in a way though because we were each other’s first.
says Kris Fretz, co-founder of sex toy brand Emojibator.ラブドール av “Personally, I’m more sensitive to the vibrator’s texture vs. intensity,
when I’m not looking to be damaging and crack methods, ラブドール 女性 用is about looking to build a globe exactly where folks may have much more consensual associations with their equipment and information and each other.”
they’re perfect for last-minute emergencies!Don’t forget to add a gift box by selecting “Luxe Packaging” at checkout! We offer 3 sizes of luxury boxes for the perfect finish: Luxury lingerie gift boxes with pink bows Practical considerationsDo you need your gift in time for a specific date,velma cosplay sexylike a birthday or anniversary? Mention this in your order checkout notes so we can be sure it will arrive in time.
opting for TPE sex dolls ensures an extraordinary journey into a world of limitless possibilities and unrivaled intimacy.Choose a fairly cheap TPE sex doll and unlock a realm of pleasure tailored precisely to your desires.ラブドール アニメ
Something difficult for narcissists to understand.The failed narcissist on the other hand,ラブドール エロ