KITAIFA

SPIKA DKT. TULIA AMTEMBELEA MSTAAFU PIUS MSEKWA NYUMBANI KWAKE

SPIKA DKT. TULIA AMTEMBELEA MSTAAFU PIUS MSEKWA NYUMBANI KWAKE

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 22 Agosti, 2023 amemtembelea na kumjulia hali Spika mstaafu Mhe. Pius Msekwa nyumbani kwake Kinondoni Jijini Dar es Salaam. (Kushoto ni Mke wa Pius Msekwa Bi. Anna Abdallah)

About Author

Bongo News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *