WAZIRI SILAA: TUNAKWENDA KUFANYA MABADILIKO SEKTA YA ARDHI, JIANDAENI KUYAPOKEA
DAR ES SALAAM: Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuwa tayari kwa mabadiliko yenye lengo la kuiboresha sekta ya ardhi. Silaa amesema hayo leo tarehe 21 Septemba 2023 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na watumishi wa sekta ya ardhi katika mikoa ya Dar […]
Read More