BAJETI YA WIZARA YA MAWASILIANO YAPITISHWA KWA KISHINDO
Bunge la Tanzania Limeridhia kwa kishindo kwa asilimia mia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kuidhinisha Jumla ya Shilingi Bilioni 180,926,557,000.00 ili kuweza kutekeleza malengo na Vipaumbele iliyojiwekea kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.
Read More