BASHUNGWA AAGIZA MKANDARASI ALIYEDHULUMU MFANYABIASHARA ATAFUTWE NA KUCHUKULIWA HATUA

BASHUNGWA AAGIZA MKANDARASI ALIYEDHULUMU MFANYABIASHARA ATAFUTWE NA KUCHUKULIWA HATUA

Bashungwa ametoa agizo hilo mara baada ya kupokea malalamiko hayo kutoka kwa Mfanyabiahara huyo, Abineza Ginivian wakati akikagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Mji wa Kayanga wilayani Karagwe. Waziri Bashungwa akiongea kwa njia ya simu na Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Mhandisi Rhoben Nkori amemuagiza kumtafuta Mkandarasi huyo kuhakikisha analipa deni ambalo alikopa […]

Read More
 BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUTAFUTA SULUHISHO LA  KUJAA MAJI  ENEO LA MTANANA – DODOMA

BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUTAFUTA SULUHISHO LA  KUJAA MAJI  ENEO LA MTANANA – DODOMA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufanya tathmini ya eneo la Mtanana katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma ambalo leo Januari 9, 2024 lilijaa maji na kusababisha barabara hiyo kufungwa majira ya asubuhi. Pia ameagiza kuwasilishwa kwa mkakati wa kudumu wa kudhibiti eneo hilo […]

Read More
 BASHUNGWA ATINGA MLIMA KITONGA KIBABE, ATAJA MKAKATI WA KUIPANUA,  ZAIDI YA SH6.4BILIONI KUTUMIKA

BASHUNGWA ATINGA MLIMA KITONGA KIBABE, ATAJA MKAKATI WA KUIPANUA, ZAIDI YA SH6.4BILIONI KUTUMIKA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema Serikali imesikia kilio cha Watumiaji wa barabara kuu ya TANZAM kutokea Ruaha Mbuyuni hususan eneo la Mlima Kitonga lenye urefu wa kilometa 7.6  na inakwenda kutoa suluhisho, ambapo tayari wataalam wamewasilisha mapendekezo ya muda mfupi na muda mrefu ambayo yatafanyiwa kazi na Serikali. Eneo hilo la Mlima Kitonga ambalo limekuwa […]

Read More
 WAZIRI BASHUNGWA AANZA KUSHUGHULIKIA MAAGIZO YA RAIS SAMIA MKOANI MBEYA

WAZIRI BASHUNGWA AANZA KUSHUGHULIKIA MAAGIZO YA RAIS SAMIA MKOANI MBEYA

Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amemkabidhi kazi ya ujenzi mkandarasi Kampuni ya China Henan Internation Cooperation Group Ltd (CHICO) atakayejenga barabara ya njia nne kutoka Igawa, Mbeya Songwe hadi Tunduma, yenye urefu wa kilometa 218 kwa kiwango cha lami huku akisisitiza kuwa barabara inayotumika kwa sasa itaachwa maalumu kwa ajili ya ujenzi wa mwendokasi. Akizungumza […]

Read More