BASHUNGWA ATOA SAA TATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA MTWARA – MASASI ILIYOKATIKA.
Bashungwa ametoa agizo hilo tarehe 04 Machi, 2024 Wilayani Masasi akiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Deo Ndejembi, alipofika hapo kujionea adha ya watumiaji wa barabara hiyo waliokwama tangu majira ya asubuhi kutokana na kukatika kwa miundombinu hiyo iliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha usiku wa jana. “Nitoe pole kwa wananchi ambao mmepata […]
Read More