WAZIRI BASHUNGWA AKAGUA UREJESHAJI WA MAWASILIANO YA BARABARA MKURANGA, AELEZA MIKAKATI YA SERIKALI.

WAZIRI BASHUNGWA AKAGUA UREJESHAJI WA MAWASILIANO YA BARABARA MKURANGA, AELEZA MIKAKATI YA SERIKALI.

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kuhakikisha inarejesha mawasiliano ya barabara zote na madaraja yanayoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya muda mfupi pindi yanapoharibiwa. Aidha, Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS Mikoa yote kuendelea kufanya ukaguzi wa madaraja na makalvati pamoja na kuondoa matope na takataka ambapo […]

Read More
 BASHUNGWA ASHIRIKI IBADA KKKT – KARAGWE, ASKOFU BAGONZA AISHUKURU SERIKALI.

BASHUNGWA ASHIRIKI IBADA KKKT – KARAGWE, ASKOFU BAGONZA AISHUKURU SERIKALI.

Ibada hiyo imeongozwa na Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, leo tarehe 01 April 2024. Akitoa Salamu, Waziri Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Watanzania ya kufanya shughuli uzalishaji mali na kuleta ustawi. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Serikali iendelea kutekeleza miradi mbalimbali […]

Read More
 BASHUNGWA AMSIMAMISHA MENEJA WA TANROADS MKOA WA LINDI, AKUTA MTAALAM WA FALSAFA AKISIMAMIA KAZI YA UJENZI.

BASHUNGWA AMSIMAMISHA MENEJA WA TANROADS MKOA WA LINDI, AKUTA MTAALAM WA FALSAFA AKISIMAMIA KAZI YA UJENZI.

Waziri Bashungwa akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Deo Ndejembi ameshuhudia urejeshwaji wa barabara ya Liwale – Nangurukuru iliyosombwa na maji ikisimamiwa na Mtaalam mwenye taaluma ya Falsafa kwa kusaidiwa na Wananchi wakati Mkandarasi akiwa hayupo eneo la Kazi. Bashungwa amechukua hatua hiyo leo tarehe 06 Machi 2024 wakati akikagua […]

Read More
 BASHUNGWA ATOA SAA TATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA MTWARA – MASASI ILIYOKATIKA.

BASHUNGWA ATOA SAA TATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA MTWARA – MASASI ILIYOKATIKA.

Bashungwa ametoa agizo hilo tarehe 04 Machi, 2024 Wilayani Masasi akiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Deo Ndejembi, alipofika hapo kujionea adha ya watumiaji wa barabara hiyo waliokwama tangu majira ya asubuhi kutokana na kukatika kwa miundombinu hiyo  iliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha usiku wa jana. “Nitoe pole kwa wananchi ambao mmepata […]

Read More
 BASHUNGWA AAGIZA MKANDARASI ALIYEDHULUMU MFANYABIASHARA ATAFUTWE NA KUCHUKULIWA HATUA

BASHUNGWA AAGIZA MKANDARASI ALIYEDHULUMU MFANYABIASHARA ATAFUTWE NA KUCHUKULIWA HATUA

Bashungwa ametoa agizo hilo mara baada ya kupokea malalamiko hayo kutoka kwa Mfanyabiahara huyo, Abineza Ginivian wakati akikagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Mji wa Kayanga wilayani Karagwe. Waziri Bashungwa akiongea kwa njia ya simu na Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Mhandisi Rhoben Nkori amemuagiza kumtafuta Mkandarasi huyo kuhakikisha analipa deni ambalo alikopa […]

Read More
 BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUTAFUTA SULUHISHO LA  KUJAA MAJI  ENEO LA MTANANA – DODOMA

BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUTAFUTA SULUHISHO LA  KUJAA MAJI  ENEO LA MTANANA – DODOMA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufanya tathmini ya eneo la Mtanana katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma ambalo leo Januari 9, 2024 lilijaa maji na kusababisha barabara hiyo kufungwa majira ya asubuhi. Pia ameagiza kuwasilishwa kwa mkakati wa kudumu wa kudhibiti eneo hilo […]

Read More
 BASHUNGWA AUNGANA NA WANAKAGERA KUMKARIBISHA NYUMBANI KARDINALI RUGAMBWA.

BASHUNGWA AUNGANA NA WANAKAGERA KUMKARIBISHA NYUMBANI KARDINALI RUGAMBWA.

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameungana na wananchi wa wilaya ya Karagwe na Mkoa Kagera katika hafla ya kumpongeza na kumkaribisha nyumbani Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, baada ya kuteuliwa na kusimikwa rasmi na Baba Mtakatifu Francisko kuwa Kardinali. Hafla hiyo ilifanyika Disemba 28, 2023 nyumba alipozaliwa katika kijiji cha […]

Read More
 WAZIRI BASHUNGWA AWAFUNDA MAMENEJA TANROADS, ASISITIZA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA KWENYE MANUNUZI

WAZIRI BASHUNGWA AWAFUNDA MAMENEJA TANROADS, ASISITIZA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA KWENYE MANUNUZI

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa,  amewataka Mameneja wa Wakala wa Barabara nchini  (TANROADS), kuhakikisha wanaendelea kupambana na suala la rushwa katika maeneo yao ya kazi na nje ya kazi ili kujenga taswira nzuri kwa Wakala huo na Taifa kwa ujumla. Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha Mamemeja hao, tarehe 17 Novemba, jijini Dodoma, Waziri Bashungwa amesisitiza  […]

Read More